Kwanza kabisa mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba sc. Sifurahii ushindi wanaopata Yanga lkn nawapongeza
Back to the topic
Sijawahi kusikia kwamba kuna Msimua walimaliza msimu bila kufungwa licha...
Achana na performance ya Samagoal au Msuva.. Au ile ya mabeki visiki Yondani, Gadiel, Nyoni na Kapombe.. Baada ya mechi ya jana kelele zilisikika toka kwa mashabiki hususani wale wa Yanga kua...
Yanaitwa makombora ya mita 30 hivi na ya impossible angle,sio ya kuvizia gongagonga nini sijui,huenda yakapelekwa FIFA kujadiliwa goli bora la mwaka.Mwadui watasimulia nyieee hamjui tu.mwisho...
matokeo ya raundi ya kwanza
simba 3 vs 0 js saoura
al ahly 2 vs 0 as vita club
round ya pili
js saoura 1 vs 1 al ahly
as vita vs simba (saa 1 usiku)
msimamo
1.al ahly mechi 2 point 4
2.simba...
Mchambuzi wa michezo wa radio clouds shaffii dauda amejitoa kugombea uenyekiti wa chama cha waandishi wa habari wa michezo TASWA kwa kukosa sifa ya kuwa na vyeti vya uandishi wa habari.
MY TAKE...
Kipindi cha michezo cha Efm kile cha asubuhi kimejaa porojo na matangazo mengi mengi hasa ya kamali.
Kipindi kinaanza saa 3 :00 lakini habari ya kwanza inaanza kusikika baada ya DK 20 huku...
Tetesi na habari zilizo chini ya kapeti katika klabu ya Simba inaelezwa kuwa Simba ipo kwenye mpango wa kufanya usajili wa kushtukiza ulimwengu na soka la Tanzania kwa kumsajili mchezaji wake...
HISTORIA FUPI
AS Vita club ni timu iliyopo katika viunga vya jiji la Kinshasa nchini Congo DRC na imeanzishwa 1935 ikiwa inaitwa Reneissance baadae 1939 ikabadilishwa ikaitwa Victoria Club na 1971...
Vinara wa ligi kuu Yanga Leo wakiongoza na Nahodha wao mpya Ibrahim Ajib watakuwa wakipapatuana na wachimba madini kutoka shinyanga Mwadui fc.
Yanga itakosa huduma ya kinara wa ufungaji Makambo...
Habari wana sports,
Kumekuwa na kelele nyingi sana kati ya hawa jamaa mwingine akitumia media na instagram kuisema vibaya SImba,Haji amekuwa akimtuhukmu Shaffi kama adui namba moja wa klabu ya...
Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka nchini TFF, Hamidu Mbwazeleni amefariki dunia leo
Kufuatia msiba huo Rais wa TFF Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya...
Bado wiki moja imesalia michuano ya SportPesa Super Cup 2019 iweze kuanza ambapo kama ilivyoripotiwa awali, michuano hiyo kwa mwaka huu itaendelea kuhusisha timu za mataifa ya Kenya na Tanzania...
Kwa mujibu wa mwandishi Bin zubeiry anaelezea hapo chini;
Nilipata fursa ya kufanya mahojiano na Maulid Bakari Dilunga, mshambuliaji wa zamani wa kimataifa Tanzania, aliyefariki dunia, Juni 10...
HUYU NDIYE JAMES AGYEKUM KOTEI
Wakati anasajiliwa Simba mwaka 2016 alipewa mkataba wa "mashaka mashaka" wa mwaka mmoja kwa majaribio ,baada ya timu hiyo kunogewa na huduma yake ikafunga nae...
Ni habari ya kuhuzunisha.
Phillemon Mafinga kafariki akiwa ma miska 49
Wakongwe humu mliokuwa mnafuatilia mpira miaka ya 90 mnaweza kumfaham huyu jamaa.
Alikuwa forward hatari wa timu ya taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.