Phillemon Masinga wa Bafanbafana hatunaye tena

Fao La Kujitoa

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
396
966
Ni habari ya kuhuzunisha.

Phillemon Mafinga kafariki akiwa ma miska 49

Wakongwe humu mliokuwa mnafuatilia mpira miaka ya 90 mnaweza kumfaham huyu jamaa.

Alikuwa forward hatari wa timu ya taifa ya Afrika kusini Bafanabafana. Kama mnakumbuka 1996 ile Bafanabana ya mark fish mosheu, doctor khumalo iliyotwaa Afcon Mafinga alikuwepo

R.I.P
 
Thank kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni habari ya kuhuzunisha.

Phillemon Mafinga kafariki akiwa ma miska 49

Wakongwe humu mliokuwa mnafuatilia mpira miaka ya 90 mnaweza kumfaham huyu jamaa.

Alikuwa forward hatari wa timu ya taifa ya Afrika kusini Bafanabafana. Kama mnakumbuka 1996 ile Bafanabana ya mark fish mosheu, doctor khumalo iliyotwaa Afcon Mafinga alikuwepo

R.I.P

Nina uhakika wakati wake huo ' Members ' wengi hapa walikuwa bado katika Ndoo za Mabeseni ( Watoto Wachanga ) huku wakililia tu Uji na Maziwa. R.I.P Masinga.
 
Philemon "chippa "masinga kizazi cha dhahabu hicho pale mbele akibadilishana na mark Williams palikuwa pazuri mengi alifanya kwa kipindi chake mpaka timu kama leeds United ikaomba huduma yake pia alipata kukipiga bari ya italia achilia mbali vilabu vya kwao kama jomo na mamelod sundown pumzika chippa
 
Ni habari ya kuhuzunisha.

Phillemon Mafinga kafariki akiwa ma miska 49

Wakongwe humu mliokuwa mnafuatilia mpira miaka ya 90 mnaweza kumfaham huyu jamaa.

Alikuwa forward hatari wa timu ya taifa ya Afrika kusini Bafanabafana. Kama mnakumbuka 1996 ile Bafanabana ya mark fish mosheu, doctor khumalo iliyotwaa Afcon Mafinga alikuwepo

R.I.P
Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita.

R.I.P Phil Masinga, mmoja wa wachezaji bora wa awali kutoka Afrika kukipiga EPL.
 
maskini masinga so sad wakati huo tunatoroka pale mtwara tech tunakwenda kuangalia mpira ukumbi wa bandari
 
WHAT'S THE ISSUE?
ni kwamba mlikuwa mnaogeshwa kwenye mabeseni na wengine hawajazaliwa
kwa hiyo hamkumkuta Masinga
Former Leeds striker Phil Masinga has died aged 49
1547648552941.png
 
Back
Top Bottom