Kipa wa Klabu ya Arsenal ya Uingereza, Petr Cech ametangaza kuwa atastaafu kucheza soka baada ya kumalizika kwa msimu huu wa 2018/19
Cech mwenye miaka 36 alijiunga na Arsenal mnamo Juni 2015...
naam ni tarehe 15 january na kwa mujibu wa baraza la wadhamini chini ya waziri mkuchika walisema manji leo anarudi ofisini
kinywa cha mzee kinanuka lakini hakisemi uongo,wanayanga mjitokeze kwa...
Club ya Cardiff inaonesha nia ya kuwania huduma ya Mtanzania Mbwana Samatta. Binafsi namsihi Mbwana amalizie msimu na KRC Genk ili aanze maisha mapya na msimu mpya na asiache unfinished business...
Huo uwezo wake si wakawaida-haiwezekani!
Kipa gani yupo makini kupitiliza namna hiyo!?Mm kuanzia leo nawasiliana na babu kule kijijini tulijadili suala la uwezo wa kupitiliza wa huyo mtu!
Ni hatari!
By Sangu Joseph
Kwanza nitoe hongera kwa Klabu ya Soka ya Simba kwa ushindi walioupata wa mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura ya Algeria ni cha kujipongeza kama nchi, lakini kuna kitu nimekiona baada ya...
Ushiriki wa mashindano kombe la Mapinduzi linalofanyika kila mwaka ni wa hiari au lazima .... ?
Mashindano haya ni ya muhimu kuongeoza shamrashamra za kumbukumbu muhimu ya Mapinduzi matukufu na...
Mshambuliaji hatari wa Genk Mbwana Samatta ameisaidia timu yake kupata ushindi kwa kufunga goli 3 peke yake katika ushindi mnono wa Goli 5-2 walioupata dhidi ya Broendby katika mechi ya kufuzu...
Mpaka sasa ni dakika 45 za kwanza zinakaribia kuisha mechi ni bila bila, ila As Vital wameshalimwa kadi nyekundu yenye utata.
Hawa waarabu ni hatari kwa fitina.
Half time Al Alhy 0-0 As Vital...
binafsi sina tatizo na haji manara sababu simfaham na hanifaham pia physically. nimemfaham kwa kumwona kwenye media. lakini kutokana na mabadiliko makubwa ya kimuundo yanayofanyika katika klabu ya...
Patashika ya Ligi kuu ya wanawake 'Women's Premier League' iliyoendelea leo kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es salaam kwa kuwakutanisha watani wa Jadi upande wa wanawake, imeshuhudia Simba...
ZIMEBAKI saa kadhaa kabla ya Klabu ya Azam FC kuvaana na Simba katika fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayofanyika Uwanja wa Gombani, Pemba leo saa 9.30 jioni.
Wakati Azam FC ikitinga fainali...
Ni muda mrefu sasa mimi kama mpenzi na shabiki wa mpira wa miguu ambao ni mchezo namba 1 kupendwa sana duniani na Tanzania ikiwemo, nimekuwa nikifuatilia mechi mbalimbali za mpira wa miguu hapa...
Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten ameamua kuweka makucha hadharani baada ya kumtukana LIVE shabiki wa Simba kisa kuambiwa hana akili.
Ten aliweka ujumbe katika ukurasa wa Instagram kwa kusema...
Jay Msangi Jana ameondoka Tena Kwenda Na Bondia Denmark. Je Wenzangu Mmepata Yale Majibu ya Tuhuma za Kuwazulumu Fedha zao wale Vijana Boxers waliocheza SOUTH AFRICAN?
Sent using Jamii Forums...
HABAAR LIKA LANGU WAKUBWA SHIKAMOOOOO, Ndugu wote tu watanzania naomba tuweke tofaut zetu pembeni ili kesho tumwaibishe mwarabu maana hawez kuja na kutamba kwenye himaya yetu lazma afe twendeni...
Rotation ya kikosi cha Simba
Usiku wa leo wazanzibar na dunia nzima itakuwa uwanjani na kideoni wakitalii. Sio utalii wa Serengeti bali ni utalii kushuhudia soka safi la mnyama Simba,kushudia...
Jana usiku eti makomando wa simba wana ulinda uwanja..sasa swali la kujiuliza Saoura fc ni wageni hawajui chochote wataufanya nn uwanja au watafukia nn
simba bwana eti wakiulinda uwanja ndio...
Na Saleh Ally
Tayari mshambuliaji Nonda Christophe Nonda ameamua kustaafu soka, sasa anaendelea na maisha mengine, mfano suala la uhamasishaji wa amani katika sehemu mbalimbali duniani.
Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.