FULL-TIME: Simba SC 3 - 0 JS Saoura
Klabu ya soka ya Tanzania Simba SC imemenyana na klabu ya JS Saoura ya Algeria katika michuano Klabu Bingwa Afrika ikiwa ni mchezo kundi D
UPDATES:
SUB...
Kutokana na kasi na uwezo mkubwa wa timu ya AS Vita hasa wakiwa kwao, hiki ndio kikosi ambacho kitawapa tabu kikipangwa.
1) Manula
2) Mlipili
3)Bukaba
4)Juuko
5) Wawa
6) Kotei
7) Niyonzima
8)...
MTANDAO huu kwa muda mrefu sasa umekuwa ukifanya tafiti na kufuatilia mwenendo wa klabu ya Simba katika mechi za ligi kuu soka Tanzania bara msimu huu.
Mwishoni mwa juma lililopita, Simba...
wadau wa soka kama inavyosomeka hapo juu ninaomba ufafanuzi maana hasa ya kikosi cha kwanza,kikosi cha pili na timu B.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari yenu wote humu,
Hivi karibuni nimeona andiko moja lisemalo 'yanga wanamuhitaji mtu kama Haji Manara'. Nimesikitishwa na mwandishi aliyeandika andiko hilo kwani ameandika kishabiki bila...
Kuna dhana kuwa Simba wana kikosi kipana , hii sio halisi. Matokeo ya finali ya Mapinduzi cup yanapingina na msemo huu. Ukweli ni kwamba Simba ni ya Okwi, kagere, bocco, mkude, shabalala, chama...
Simba SC safari bado tunayo tuzidi kupambana kwa maslahi ya klabu yetu na Nchi, Viongozi, Wachezaji, Wanachama Mashabiki na Wadau wa soka, kwa matokeo ya kufungwa na AS Vita Club ni sehemu ya...
Sijafa moyo na hatujafa moyo,tuna imani tutaingia robo fainali,kama sio leo basi kesho.
Constantine wamewatandika TP Mazembe 3G wakiwa kwao. Nyumbani ni nyumbani tu.
Nakubali kuwa beki yetu jana...
kikosi cha yanga leo dhidi ya stand united
match time: 10:00 jioni
stadium: ccm kambarage
kikosi:
1.claus kindoki
2.paul godfrey
3.gadiel michael
4.andrew vicent {dante}
5.kelvin yondan
6.abdalah...
Watu wanachonga Sana Mara baada ya simba SC kupigwa tano -kwa bila na As vita club.lakini wanashindwa kujua kuwa hilo ni kawaida almost duniani kote,ukiangalia Jana hata timu kubwa Kama Tp mazembe...
Katika soka lolote linawezekana, japo ukweli ni kwamba soka la kisasa ni la kisayansi na linaenda sambamba na uwekezaji. Washindani wenu wakuu katika kundi AL AHLY na AS VITA wamewazidi katika...
MWAKA 1998 YANGA SC WALIFANIKIWA KUINGIA HATUA YA MAKUNDI CLUB BINGWA
YANGA WALIWEZA KUWEKA RECORD MATATA AMBAYO SIDHANI KAMA KUNA TIMU ITAKUJA KUIFIKIA
YANGA ILIWEZA KUWEKA RECORD YA KUFUNGWA...
......Mkiambiwa UnderDog muwe mnaelewa.
Shafiii ndo Mchambuzi Bora Tanzania... Tatizo mashabiki wengi Majuha na Hawajuhi chochote zaidi ya Upuuzi... Wanapenda kusikia maneno matamu matamu Hata...
Kuna vipande vya video vinasambaa mtandaoni vikimuonyesha msemaji wa Simba Haji Manara akiwa jukwaani uwanjani wakati Simba ikicheza(Sina uhakika kama ni kule DRC dhidi ya AS Vita Club) huku...
Nimeangalia magazeti yote kwenye mtandao asubuhi hii,cha ajabu ni habari za Yanga kutolewa bikra,mnyama hayupo sehemu yeyote na mda uloisha mpira bado unatosha kuwahi kutuletea kilicho jiri...
Yanga ipo uwanjani leo uwanja wa Kambarage
Ajabu ni kwamba kipa wake Kindoki ataanza leo huku akiwa kafiwa na mzazi wake juzi
Nisaidieni kushangaa wanaJF
MZEE Kindoki Nkinzi ambaye ni baba wa...
Hivi hii ndio ile timu manara alisema wanaitaka baselona? Tena ile bisolona yenyewe kabisa?
Na kipigo cha leo ni laana ya kuidharau Barcelona kiasi kile...
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda kuwasalimu wote, Asalam Alyekum, Bwana asifiwe na Tumsifu Yesu Kristu...Amen
Wakati hali ya hewa hapa jiji ikiwa shwari kabisa kajua na kajoto kwa mbali macho na masikio ya wengi yatakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.