Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimekumbuka hii kauli na kweli jana dunia (Kongo na Tanzania) imeshangaa sana pale 'vumbi la Kongo lilipotaka kumaliza paketi mbili za ndomu!.
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Staa wa club ya Juventus ya Italia Criastiano Ronaldo leo mapema aliwasili Mahakamani Hispania akiwa na mpenzi wake kwa ajili ya kusikiliza hukumu ya kesi yake ya ukwepaji kodi nchini Hispania...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Taarifa za Barcelona kumchukua boateng kwa mkopo kutoka sassuolo imeshtua wapenzi wengi wa mchezo wa soka duniani na wengi wakiamini si chaguo sahihi kwa Barcelona binafsi nafikiri ni chaguzi...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
kwa namna simba wanavocheza wakiwa ugenini ni tofauti kabisa wanapokuwa nyumbani. 1.Kocha wenu hana mbinu za kucheza nje na anashindwa kujua anacheza na timu gani 2. Wachezaji hawajitambui...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
ratiba ya kombe la sportpesa 2019.. msimu huu litatimua vumbi katika ardhi ya TANZANIA. JUMANNE 22/1/2019 1. BANDARI vs SINGIDA (SAA 8:00 MCHANA) 2. KARIOBANG SHARK vs YANGA (SAA 10:15 JIONI)...
0 Reactions
8 Replies
13K Views
Habari wadau, Naomba tuungane mashabiki wa simba, na timu zingine Tanzania ambao ni wazalendo, tushauri timu yetu. Wote tunajua fixture ya simba inayofata ni ngumu sana kuliko iliyopita. Maana...
3 Reactions
70 Replies
7K Views
Mshambuliaji wa kimataifa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na FC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta. Klabu ya Genk ya Ubelgiji imekataa dau la Euro milioni 13 kutoka kwa timu ya Cardiff...
3 Reactions
34 Replies
8K Views
Mechi ya klabu bingwa Afrika hatua ya makundi GROUP D imemalizika kwa timu hizo kugawana pointi moja moja baada ya kufungana 1 - 1 Refa amelikataa goli safi la JS SAOURA lililofungwa ktk muda wa...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Dogo kazaliwa mwaka 1995 tu,yupo Genoa sasa hivi akitokea Cracovia Krakow akiwa katupia goli 32 katika mechi 63. Msimu huu yupo Genoa ambapo mpaka sasa kashatupia goli 9 katika mechi kumi na ndio...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimetuma hela kwenda S-Pesa na meseji kutoka Tigopesa kuwa hela imetumwa Sportpesa ila kwenye account ya Sportpesa haijaingia.ili tatizo hata kwenu lipo?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
TUNAYAWEZA YOTE KATIKA OKWI ATUPAE NGUVU. Mwaka 2003 Simba ilipocheza na Zamalek mashabiki nchini Misri walishangazwa mno na timu hiyo kufungwa 1-0. Kilichowashangaza ni tangu tarehe 13/12/1996...
13 Reactions
20 Replies
4K Views
1• Juventus. win 2• Ac milan win or draw 3• Boca junior win 4• Maccabi Tel Aviv win 5• Jong PSV win/ draw #97blessed
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kila mchezaji wa Simba atakayepata nafasi ya kucheza mechi hiyo, anapaswa kuhakikisha hafanyi makosa ya utovu wa nidhamu hasa kucheza rafu zinazoweza kuwapatia wapinzani faulo zitakazotumiwa na...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari za chini ni kwamba madawa ya kuongeza nguvu yamepigwa marufuku michezoni. Haiwezekani As Vita watumie vumbi la kongo na waachwe tu hivi hivi.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Sasa hivi nimekuelewa tafsiri yako ya UNDERDOG Mwanzo Nilikasirika saana,yaani unaiita Simba UNDERDOG yaani MBWA WA CHINI Ujumbe wako Shafii waliokuwa hawajakuelewa naamini wamekuelewa kwa...
10 Reactions
93 Replies
14K Views
Wadau wa jf, Jana nilitoa mada kuhusu kutokuwepo kwa habari za matokeo ya mchezo wa Simba huko Congo kuna watu walijibu kua mchezo ulimalizika wakati magazeti yamesha chapishwa hivyo had I toleo...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Upo uwezekano mkubwa sana kwa chumba ambacho timu yetu ya simba ilipewa kuwekewa kitu kibaya , haiwezekani Simba kucheza vile , ni lazima kutakuwa na kitu kimefanyika , hii si ile simba...
8 Reactions
143 Replies
16K Views
Kwanza hongera JF kwa kurudi hewani Ningependa kujua mtazamo wa watu juu ya wachambuzi hawa wawili wa soka hapa Tanzania. Mwalimu Kashasha na Dr. Leakey, Wamekuwa wakichambua soka stesheni ya...
5 Reactions
101 Replies
22K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom