Ili kutendea haki timu zingine, ni bora mechi wanazoshiriki Simba na Yanga zichezeshwe na waamuzi kutoka nje ya nchi.
Najua itakuwa ni changamoto kutekeleza hili wazo, ila huu ndio ukweli...
Zandaaaaaani, ikiwa Simba wataendelea na msimamo wao wa kuogopa kuleta timu uwanjani basi mamlaka zimepanga kutotoa tuzo kwa wachezaji waliofanya vyema msimu huu.
Mdau wa soka Ally Mayai Tembele ambaye alichukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka Nchini (TFF) amesema hata yeye amekosa endorsment hivyo anasubiri mamlaka ziamue.
"Nimekosa...
Yanga wamepanga kutuma barua TFF kuhusu waamuzi kutoka nje ya nchi kwaajili ya Derby ya kesho dhidi ya Simba
Wanawasiliana na TFF ili kupata ufafanuzi, kutoa maoni, mapendekezo au malalamiko na...
WANAMICHEZO sita wamejitokeza kuwania urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaotarajiwa kufanyika Agosti 16, mwaka huu jijini Tanga.
Taarifa iliyotolewa muda mfupi uliopita na...
Hadi sasa hakuna anayejua kama Simba italeta timu uwanjani kesho tarehe 25 June pale kwa Mkapa.
Jamaa wapo vema sana kwenye kulinda taarifa. Hata MOSAD wasingepata taarifa kama Simba itacheza au...
eshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwa limechukua hatua kali za kiusalama kuelekea mchezo mkubwa wa soka kati ya timu ya Simba na Yanga utakaochezwa Jumatano, tarehe 25...
Simba wamecheza ngoma zote za Yanga, kadri mdundo wa Yanga alivopiga Simba wametii na kufanya kama Yanga alivotaka
Yanga wakilalamikia waamuzi na kamati ya waamuzi
Walipeleka hilo takwa TFF na...
Mwamuzi wa derby,Amin Omar,amechezesha jumla ya mechi (239),kwenye hizo mechi ametoa kadi za njano (823) ametoa jumla ya kadi nyekundu (47).
Soma, Pia: Waamuzi wa derby wanatoka nje ya nchi, basi...
Kwanini watu wenye asili ya Latin (Italy, Spain, Portugal, Argentina, Brazil) wanacheza sana soccer pasipo kujali wapo bara gani (Ulaya au America)?
Siri yao kuu ni nini?
Ninaomba kuelimishwa...
Kamati ya uchaguzi ya TFF bilashaka inaundwa na watu wa mpira nchini, na watu wanaowania kugombea uongozi wa TFF ni watu wanaofahamika CV zao, hii kanuni ya endorsement kwa watia nia Iko kwa...
Ila sisi watu weusi sijui tumelaaniwa yaani watu na akili zao wanaamua kuweka mfumo wa uchaguzi wa kinafki .
Halafu wanashupalia kichwa kwamba uchaguzi ni wa uhuru wa haki na kidemokrasia...
🔮 Final Prediction:
🟢 Young Africans Sports Club is favored to win or draw, based on:
Match and name numerology (4)
Capricorn Moon (structure, defense)
Astrological support from Venus and Saturn...
Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah ni miongoni mwa wachezaji wanao wania tuzo ya professional footballers associations players player of the year award 2025.
Mabingwa hao wa premier...
Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa...
Wakuu Kuna jambo la hatari linatokea Kila nikiangalia namna Simba inaweza kushinda derby ya tarehe 25 .....ghafla usingizi mazito unanipata nashtuka kesho yake
Lakini Kila nikiiwazia Yanga...
Wakuu, hii ni bold prediction yangu kwa fainali za NBA mwaka huu:
➡️ Indiana Pacers watachukua ubingwa kwa jumla ya michezo 4-2 dhidi ya Oklahoma City Thunder.
Kwa waliokuwa na usingizi Game 1...
Hivi karibuni sakata la kufungiwa kwa Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Sande Manara "Bugati" limeshika kasi katika tasnia ya michezo nchini, lakini mtiriko wa matukio ya kuichafua tasnia ya soka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.