Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,280
Wakuu, hii ni bold prediction yangu kwa fainali za NBA mwaka huu:
➡️ Indiana Pacers watachukua ubingwa kwa jumla ya michezo 4-2 dhidi ya Oklahoma City Thunder.
Kwa waliokuwa na usingizi Game 1, Pacers walifanya comeback ya kibabe na kuwashinda Thunder kwa vikapu 111-110 – ugenini! Na kilichonivutia si pointi nyingi wala show za mtu mmoja, bali ni umwamba wa timu nzima kushirikiana. Hakuna aliyehitaji kufunga 30 ili washinde. Waliwachana kama kundi, sio solo artist.
Sasa kwa wale wafuasi wa Thunder, mnaweza kuniambia mnasubiri nini kutoka kwa SGA? Anabeba timu kweli, lakini kama wengine hawaamki, hiyo ring mtaiota tu.
PACERS IN 6.
Naandika hii nikiwa na uhakika kuliko mtu aliyewahi kufumania kwa macho.

Huu ndiyo utabiri wangu kamili:
- Game 1: Pacers wameshashinda ugenini ✅
- Game 2: Thunder watajibu mapigo nyumbani
- Game 3 & 4: Pacers wanarudi Indiana na kumaliza kazi kwa back-to-back wins
- Game 5: Thunder hawatakubali kuaga mapema – watashinda kwa heshima yao mbele ya mashabiki wao 🏟️
- Game 6: Pacers wanamalizia kazi kwao. Siakam, Haliburton, Turner na kina Toppin wanakamilisha ndoto
🧠 Kwa nini naamini Pacers?
- Wanacheza kwa pamoja – hakuna mtu anacheza kama yeye ni LeBron
- Haliburton ni "floor general" wa maana – anasambaza mpira kama mchungaji anavyogawa chakula cha kiroho 😅
- Siakam na Turner ni foundation ya defense na rebounding
- Bench yao ina impact kila game – kina Nembhard, McConnell, Toppin wanakula dakika na wanatoa matokeo