Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari JF , nadhani soka letu la Bongo limetoka mbali sana lakini binafsi naona katika uongozi wa Karia tumepiga hatua sana hasa katika mambo yafuatayo :- 1.Ligi imepanda viwango na umaarufu ...
1 Reactions
13 Replies
738 Views
Kwamba Simba kutotokea kwenye press ni jambo linaloweza kuwatoa yanga mchezoni? Kwamba Simba kutotokea kwenye press ndio wanawaaminisha mashabiki wao awapeleki timu uwanjani? Hiki ni kisa cha...
14 Reactions
60 Replies
3K Views
Dimba la Benjamin Mkapa limeonekana kuwa katika hali ya kuvutia kuelekea mechi ya kusisimua ya Dabi kati ya Yanga na Simba inayotarajiwa kuchezwa saa 11, Jioni leo Juni 25,2025.
2 Reactions
7 Replies
859 Views
Uongozi wa Al Nassr umethibitisha kuachana na kocha Stefeno Pioli pamoja na wasaidizi wake. Pioli alijiunga na Al Nassr mwaka 2024, akikiongoza kikosi cha klabu hiyo kwenye michuano ya Ligi Kuu...
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Wakuu mpo? Ni ajabu sana kuona shabiki wa simba Sc na viongozi wao wakilaani wanasiasa kuingilia mambo ya mpira😡 hivi mbumbumbu mtaelimika lini? Mnataka kukata kuti mlilokalia juu ya mnazi...
3 Reactions
21 Replies
945 Views
Habari Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani. WHY? Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Jeshi la polisi limeimarisha ulinzi kuelekea Dabi ya kariakoo hapo baadaye majira ya saa 11 jioni katika uwanja wa Benjamini Mkapa Dar Es Salaam.
2 Reactions
7 Replies
549 Views
Kila Siku ninavyozidi kumtizama katika Mitandao mbali mbali naona kama vile simwelewi na kama vile ni Pancha Kubwa.
-1 Reactions
3 Replies
458 Views
Hatuna zaidi, ila tupewe tu majibu, nini kilitokea tarehe 15/06 hadi mechi ipelekwe tarehe 25/06, bila majibu ya kueleweka msimamo wetu ni ule ule, HATUCHEZI KESHO!
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Mwaka huu Simba walipoanza kama wenyeji kwenye raundi ya kwanza ambapo watani zao Yanga waliwapa sapoti yote ya promosheni, wao waliamua kutukana nafasi hiyo kwa kuhujumu raundi ya pili ambapo...
2 Reactions
2 Replies
353 Views
Ya Ngoswe tumwachie Ngoswe. Leo ndio siku ile iliyokua inasuburiwa kwa hamu na Wadau na Mashabiki wa timu hizi mbili, hapa naizungumzia Dabi ndio ni Dabi ya Kariakoo, huku Simba SC kule Yanga SC...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC utachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Misri. Mwamuzi wa kati atakuwa Amin Mohamed Amin Omar, msaidizi namba moja ni Mahmoud Ahmed Abo El...
12 Reactions
102 Replies
8K Views
Ninasema hivi kwasababu ikitokea Simba ipoteze naona kutakuwa na mtifuano mkubwa sana ndani ya Klabu . Hasira kubwa ya Mashabiki itakuwa kwa uongozi mzima wa Simba. Kwasasa Mashabiki wengi wa...
3 Reactions
3 Replies
371 Views
Mimi sio shabiki maandazi wala sio shabiki lia lia wa simba ila jana nimeota simba akiibuka na ushindi wa 3 bila. Wanayanga mjiandae kwa lolote na msikariri kwamba mtaifunga simba mechi ijayo...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
The only amateur team at the Club World Cup Auckland City FC managed to draw 1-1 vs. South American giants Boca Juniors. The side from New Zealand is mostly comprised of players that have full...
1 Reactions
3 Replies
425 Views
Baada wiki iliyopita Dogo Shukuru kumtandika goli 4 kwa michezo 24 waliyocheza dhidi ya Dogo Sisco, Dogo Shukuru ametamba kumtaka kucheza na Noel Namaloe ila Noel kama kamkimbia dogo kimtindo...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Wageni wapo kwa mkapa jioni hii, kimya kimya wakipasha, kwahiyo dabi ipo kama kawa
4 Reactions
23 Replies
2K Views
GENTAMYCINE alijitamba sana kuwa wao ni watu wa kimya kimya na ndio imetoka hiyo. Haya boss kubwa kataitishwa katema bungo na ratiba ni kama ilivyopangwa :p :p:p Pole sana GENTAMYCINE pia pole...
3 Reactions
1 Replies
761 Views
Klabu ya Simba haijatuma wawakilishi kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari kwaajili ya kuzungumzia maandalizi yake ya mchezo wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga Sc, mchezo unaotarajiwa kupigwa...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Sasa hivi Azam Sports 3 waeandika 1600-1800 Kandanda mbashara lakini wanaonesha mashindano ya 'basketball' ya CRDB kombe la Taifa. Mie nachofahamu kandanda ni mpira wa miguu au soka au...
0 Reactions
2 Replies
292 Views
Back
Top Bottom