Leo kwenye ligi ya nchini iraq ku
likuwa na mechi iliyowakutanisha ndugu kutoka nchi moja, nao ni Waziri Junior Shentembo, akiwa timu moja na Tuisila kisinda wote wanaichezea timu ya Al minaa Sc...
HALLOO...
.
Afisa habari na mawasiliano wa wa klabu ya Dodoma jiji Moses Mpunga amekiri kuwa mchezo wao dhidi ya Wananchi ni mgumu kwasabbu wanaenda kukutana na Yanga ambayo inahitaji alama tatu...
Mafanikio haya tunayoyaona Sasa nchini hayatokani na ujanja Wala akili za Karia, bali jitihada za wafanyabiashara walioamua kwenye mpira wetu na Rais wa nchi kupenda michezo.
TFF ya Karia...
Huu uzi ni uzi wa kufunguka kuhusu mambo yanayohusu football ambayo umekuwa unajiuliza mwenyewe kichwani bila kupata majibu na umekuwa unaogopa au unaona aibu kuuliza wengine ili wasije kukuone...
Afisa habari na mawasilino wa Simba Sc Ahmed Ally kupitia ukurasa wake wa Instagram amewaomba wanasimba kufika katika uwanja wa KMC kuaagana.
"Jumapili tukutane KMC tukaagane,tumekua na Msimu...
Mashabiki kadhaa wa klabu ya Real Madrid wameonesha nia ya kutomtaka mshambuliaji wa klabu hiyo raia wa Brazil vinicius junior, baada ya kumrushia maneno katika mtandao wa kijamii.
Vinicius...
Kila alichofanya au anachofanya mwamba Karia kina baraka za Fifa,
Katiba ya TFF ni copy n paste na katiba ya wenye mpira wao.
Mpira ni mali ya nani?
Wa kumtoa Karia ni Fifa only guys wake up
Heshima mbele wakuu,
Katika thread hii tutapata kukumbushana kauli zilizowahi kutolewa na wanamichezo Duniani kote.
Kila mtu kwa kumbukumbu yake anafulsa ya kubandika Quotes iliyowahi...
Nimekumbuka mbali sana leo
My classmate Ally mayay alivyoandikwa na lile gazeti
Japo ilikuwa kweli hawakumtendea haki
Habari ile ilimtia simanzi,alishinda ndani analia tu,rafiki zake, John...
Asalaam Aleykum
TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia...
Ukizitazama sifa za urais wa TFF kwa juu juu utaona mbona ni sifa nyepesi tu za kawaida....
Ni kweli, lakini sio rahisi kwa candidate mmoja ku-meet sifa zote kwa asilimia 100.
Hebu zisomeni hapa...
Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka...
Onlyfans model fati Vasquez has threatened legal action over the threats she has received since being seen holidaying with Lamine yamal.
Vasquez, who also a youtuber and fitness influencer was...
Usajili was Liverpool FC Hadi Sasa unatisha,nadhani msimu ujao tunabeba tena!
Hadi Sasa ,
Georgio mamadashavili Toka valencia,Jeremie frinmpong Toka Leverkusen,florian wirts toka Leverkusen ,pia...
Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Yanga, Ally Mayay, leo Juni 20, 2025 amerudisha fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF).
Mayay amegusia suala la baadhi ya wagombea...
Uchaguzi wa TFF una viashiria vya rushwa kwenye upande wa kupata endorsements kutoka kwa wajumbe. Mwenye fedha nyingi anaweza kununua endorsements zote na wengine kukosa hata moja.
Uchaguzi...
Viwanja vitaboreshwa vitawekwa nyasi za kisasa na sio kapeti, viti vitakua na namba, vitakuwa na mapaa, vyoo vitakua visafi, kutakua na VAR, vitakuwa visafi na hakutakua na mechi ya saa nane...
Salaam Members!
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeutangaza uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam, Tanzania kuwa mwenyeji wa mchezo wa ufunguzi wa Fainali za Mataifa Bingwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.