Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Inter Miami's market value according to Transfermarkt is €66.18m. While Porto's is €345.90m and Atletico Madrid's is €508.50m. The MLS side is the only one that advanced to the Round of 16...
2 Reactions
8 Replies
573 Views
Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu. 1. Ally Salim (Simba) 2. Chamou...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
"Tunamshukuru Mungu tumemaliza salama msimu huu wa ligi kuu ya NBC 2024/2025 mechi ya leo dhidi ya Kagera Sugar sisi Simba SC ilikuwa ni mechi ya raundi ya 30 Mechi ambayo inatamatisha msimu huu...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Inasemekana mashambulizi yamemzidia President Karibu kutoka kila Kona, kuanzia serikalini, vilabu na wadau Kuna kampuni kubwa ya kurusha matangazo ya mpira imekuwa ikipiga hodi TFF kuomba kurusha...
15 Reactions
103 Replies
6K Views
Jamaa wamenyooka kama rula,pira limepigwa hakuna mbeleko sijui mzee sasa itakuwaje,Simba kachezea kipigo. Hawa hata tukiwaleta wawe wasimamizi wa UCHAGUZI CDM mjiandae kutopata hata kiti kimoja...
3 Reactions
22 Replies
862 Views
Mmehangaika kumtuma Mayai na Msolla ili wamngóe WK na mmesahau kuwa Karia yuko hapo kwa matakwa ya Mfumo.
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Ninavyowajua wanayanga hawajaumbwa na aibu. Yaani nadhani aibu ilikuwa imeisha kwa hiyo wakaumbwa hivyo hivyo bila kuwekewa soni ndani mwao. Muumba aliona ni heri ampe sungura aibu ila asiwape...
4 Reactions
13 Replies
855 Views
Mpaka sasa hana goli ila mashabiki watasema anacheza vizuri, kwa sisi tunaojua mpira hadi useme amecheza vzr tunarudi kwenye numbers zake ana assist ngapi ana pre-assist ngapi awe mtu wa tatu...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Haya maigizo wanayofanya Simba sc sio ya kufumbiwa macho kabisa na mamlaka, zichukuliwe hatua kali kwa viongozi wa Simba, Meneja wa uwanja ambaye pia ni mwanasimba pamoja na kamishna wa mchezo...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Kati fundi Aucho pembeni Pacoume Ngwena Zuzwaa kuna huyu Waziri Wa Kazi Maalumu (Max nzegeli) Kila mechi Lazima awaweke hakika Wese boy wameingia kwenye MFUMO. Dadekiiii, achana na Mudathri kuna...
5 Reactions
5 Replies
489 Views
Hawa wachezaji wa Simba ni Useless kabisa ,timu iko nyuma dk ya 70 wachezaji wanatembea ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu . Wachezaji hawana fighting spirit, wazito na hawajui Soma Pia: Full...
5 Reactions
12 Replies
654 Views
Huu ndio ukweli mchungu. Msimu ujao hata hiki kidogo kizuri alichofanya hakitaonekana. Labda akubali kuwa assistant coach
3 Reactions
50 Replies
3K Views
Mimi ni mpenzi wa mpira nilivyoiona hii timu ya simba haiwezi kuwa bingwa ligi kuu miaka 10 mfulilizo endapo IKICHUKUA UBINGWA nipigwe ban ya maisha humu JamiiForums. Nina uhakika Kwa...
1 Reactions
13 Replies
888 Views
Kuelekea mechi ya watani yanga nikama wanataka kuanza kushinda nje ya uwanja , drama wanazofanya kwa vyovyote vile zinadhoofisha maandalizi ya Simba , wanataka kuwin kwa simba kuchukulia mchezo wa...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Kesho utapigwa mtanange mzito wa Derby ambapo Yanga wanaikaribisha Simba. Katika michezo mitatu Simba ameangukia pua Dhidi ya Yanga. Huku katika misimu 9 iliyopita yanga akishinda mara 6 sare mara...
1 Reactions
7 Replies
747 Views
leo mpaka muombe poooooo Kila siku tunasema: "Leo Simba ikimfunga Yanga, nikipigwe ban ya maisha!" Tumechoka, tumehamaki, tumejaa jazba… lakini jazba yetu ni kwa bao – si kwa bei ya sukari. Tuna...
0 Reactions
2 Replies
267 Views
Wakuu, hi ndo ile siku ya Watani wa jadi, Kkoo Derby. na siku yenyewe ni siku ya kazi, hii dabi imenikuta nikiwa kazini hapa Posta, Mtaa wa india (India street), karibu na Sabodo Car Parking...
0 Reactions
42 Replies
1K Views
Mchana huu napokea taarifa kutoka Pangani naambiwa Yanga atakufa kifo kibaya sana Pia napewa taarifa wazee wa utopolo walishindwa kuchomoa mitego yote Wamepangua mitatu imebaki miwili Asanteni...
1 Reactions
4 Replies
372 Views
I salute you kinsmen Hii team yenu ya simba imejaa utoto Walifanya kukaa kimya eti ili yanga wakose mapato. Nani kawadanganya kuwa watu hawataoingia?? Msipoingia basi wanayanga wataujaza na...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
leoooo nipo na nyie mpaka mnyooke Wapendwa Watanzania... Leo tumeamka tena na habari za mpira. Leo tena tunagombana kuhusu nani bora – Simba au Yanga. Leo tena tunatukanana mitandaoni kwa...
2 Reactions
11 Replies
461 Views
Back
Top Bottom