Nimekuwa nikishuhudia mauza uza katika mechi nyingi za derby na kunifanya nizidharau sana na kwamba wanaoumia na matokeo hayo wengi wana Matatizo mengine ya kiakili.
Kama TFF wamekubali kuleta...
Unajua watanzania pamoja na kupenda kwetu hizi timu za kurithi, tuamue nini hasa ni muhimu kwa taifa hili na katika maisha yetu.
Embu msikilize huyu mwamba anachosema kuhusiana na derby ya...
Oklahoma city thunder wameshinda ubingwa wa NBA kwa msimu wa 2024/2025 baada ya kuwatandika vikali Indiana pacers kwa vikapu 103-91 katika mechi ya saba wa mfululizo wa fainali hizo.
Oklahoma city...
Nyota wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Ally Mayay Tembele, amepata msiba baada ya leo Juni 16, 2025 kufiwa na baba yake mzazi.
Mhasibu wa Chama cha Wachezaji wa Zamani Tanzania (Galacticos)...
Yanga nimewanyooshea mikono maana mmeamua kuonyesha makucha yenu. Kwa nguvu zenu viongozi wametimuliwa kuanzia Bodi hadi TFF. Sasa mnaenda kumn'goa kiranja mkuu Wallace Karia na kusimika mtu wenu...
Nina uhakika 💯 Simba hataleta timu
Vikao vya ndani vya Simba vimeshaamua kutokucheza Kwa sababu zifuatazo.
1. Kuonyesha msimamo wao.
Simba washataarifu umma kuwa hawatacheza tarehe ikibadilisha...
Taarifa Kutoka Shirikisho la mpira wa miguu TFF imeeleza kuwa mwenyekiti wa Bodi ya ligi Steven Mnguto amewasilisha barua ya kujiuzulu nafasi yake.
Aidha Kwa upande mwingine Rais wa TFF Wallace...
Joan Garcia aliekuwa kipa wa Espanyol amepata vitisho kutoka kwa mashabiki wa timu hiyo, baada ya kukamilisha dili lake la kutimkia Barcelona.
Baadhi ya marafiki zake wa karibu wanamuunga mkono...
Habarini wana jamvi.
Sina mengi ya kuelezea ila hii issue ya BETTING tu, nimejitolea maeneo fulani na kwa mwezi naingiza 250K lakini nikiangalia maendeleo yangu tangu 2022 ni sawa na ziro, sina...
Karibu kwenye hekaheka za NBC PL za mwisho wa msimu.
Leo katika uwanja wa new Amaan complex mabingwa watetezi wa league ya NBC young African SC watakuwa wenyeji wa walima zabibu kutoka mkoani...
Wakuu
Simba mnyama leo majira ya saa kumi kamili kwa saa za Africa masharki watashuka dimbani uwanja wa manispaa ya Kinondoni kuwakaribisha matajiri wa sukari mkoani Kagera, Kagera Sugar FC...
Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.
Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora...
Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho...
Nikiwa Rais kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa zaidi ya billion 1 kwa ajili ya maandalizi ya ligi kuu ya Tanzania na baadae fedha itaongezeka itakuwa billion 2, 3 nakuendelea na zile...
Shija Richard ambae ni mtia nia ya Kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka nchini TFF, amesema amerudisha fomu yake ya Urais wa TFF bila ya kupata Endorsement hata moja.
Richard Shija...
Baada ya mechi ya kwanza ya nusu fainali dhidi ya Al Masry, nilikumbushia kwamba Simba ina tatizo sugu la kuleta ugumu pale njia rahisi inapokuwa mbele yake.
Simba ndiyo wakali wa hizi kazi...
Wakuu!
Kengold fc wapo mjini tabora katika uwanja wa kumbukumbu ya aliyekuwa rais wa pili wa jmt ali hassain mwinyi kumkaribisha mnyama Simba MAJIRA ya saa kumi kamili kwa saa za afrika...
Huyu bwana wakati wa Mchengerwa aliteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, wengi wakaona kwa sababu amecheza mpira basi ataimudu nafasi hiyo, lakini cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.