Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kutoa motisha ya kifedha kwa timu za KMKM na KVZ FC ambazo zinaiwakilisha Zanzibar katika mashindano ya klabu barani Afrika yanayosimamiwa na...
0 Reactions
4 Replies
125 Views
Lionel Messi ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Argentina. Taarifa hiyo ameitoa leo, Agosti 31, 2026, kupitia ujumbe kwenye Instagram yake. Messi amesema amefikia uamuzi huo...
6 Reactions
17 Replies
292 Views
Hull city 2-0 manchester united 😢😢😢😢😢😢huzun jamani
6 Reactions
40 Replies
639 Views
Kichwa cha habari chajieleza vizuri sana. Tunashangaa mamlaka husika za mpira wa miguu nchini hazijachukua hatua yoyote ya kumchunguza mchezaji huyo wa timu ya soka ya Simba. Chilambo ana utata...
4 Reactions
20 Replies
508 Views
Hakuna shaka kabisa sasa Timu ya wananchi Dar es Salaam Young Africans inaenda kuwa timu ya vigogo na masuperstars wa Africa...a.k.a African galaticos. Kila la kheri Engeneer Hersi na GSM.
13 Reactions
50 Replies
3K Views
Kichwa cha Habari: Uchambuzi: Kamari ya Hatari ya Benchi la Ufundi Yanga kwa Diarra—Je, Hawakujifunza Kitu Kwenye Janga la Pacôme Zouzoua? Wakuu salamu, Nimekaa na kutafakari sana mwenendo wa...
3 Reactions
5 Replies
276 Views
  • Redirect
Safari ya timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens, katika mashindano ya FIFA U-20 Women’s World Cup Poland 2026 inaanza leo, Septemba 5, 2026, kwa kukutana na...
1 Reactions
– Replies
– Views
  • Featured
Real Madrid wanatarajiwa kumrejesha kocha wao wa zamani José Mourinho baada ya zaidi ya muongo mmoja. Inadaiwa kuwa “deal” hiyo imekamilika, huku ikielezwa kuwa Mourinho alikuwa na nia ya muda...
6 Reactions
43 Replies
1K Views
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania imefuta adhabu ya kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Azam FC, Gibril Sillah, katika mchezo namba 034 dhidi ya Kagera Sugar uliomalizika kwa...
0 Reactions
3 Replies
162 Views
Usajili wa ovyo. Huyu Chuga Boy hata Namungo hana nafasi ya kuanza
2 Reactions
15 Replies
479 Views
Hapo VIP! Huu ndio ukweli utakaochelewa ila itafika Yanga ni club ambayo imejipambanua Na kuweka wazi kuwa IPO kisiasa Na ni club yenye mahusiano mazuri Na CCM Na imekuwa ikiisupport kipesa. Na...
2 Reactions
12 Replies
331 Views
Gabriel Jesus kacheza Arsenal misimu minne. Mechi-84 Magoli-21 Japo majeruhi yanamkosesha muda wa kucheza hususani misimu uliopita akiwa na arsenal lakini haibadili kuwa ni mchezaji wa kawaida...
3 Reactions
32 Replies
468 Views
Halo vip! Moja kwa moja kwenye mada husika ni hivi nimesuka mkeka wangu. Na Ila baada ya timu zote kutoa Na walikuwa wananiletea cash out nakaa. Sasa wameamua kuchana mkeka wangu kwa makusudi...
10 Reactions
37 Replies
764 Views
Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imefanya tukio kubwa la kimasoko baada ya kumtumia mwandishi maarufu wa habari za michezo duniani, Fabrizio Romano, kutambulisha jezi zao mpya zitakazotumika...
0 Reactions
5 Replies
92 Views
Novak Djokovic alishindwa kujizuia na kuangua kilio baada ya kupoteza mchezo wa raundi ya kwanza ya US Open dhidi ya Muargentina Mariano Navone, katika kile kilichoonekana kuwa ishara nyingine...
0 Reactions
2 Replies
76 Views
Waamuzi wa Tanzania Nasir Salum, Mohamed Mkono, Ally Ramadhani na Ahmed Arajiga wameteuliwa na CAF kuchezesha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) JS Saoura (Algeria) vs Horoya AC ( Guinea)...
0 Reactions
2 Replies
201 Views
Nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil na vilabu vya PSG, Barcelona na AC Milan, Ronaldo de Assis Moreira Maarufu kama Ronadinho Gaucho amestaafu soka. Licha ya Ronadinho kutocheza soka la...
12 Reactions
355 Replies
41K Views
Wana Jamvi Karibuni tuangalie Yanga na mustakabali wa ligi kuu Mada: Gharama ya Kuchosha Vipaji: Kosa la Kimkakati la Yanga kwa Pacôme na Funzo kwa Koacha Manqoba Na Ndine A. Wa-Chiuta Mzunguko...
2 Reactions
4 Replies
294 Views
Timu ya taifa ya Uganda ya vijana chini ya umri wa miaka 23 ‘Kobs’, imejitoa kwenye mashindano ya kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Vijana weny umri chini ya miaka 23 (AFCON U23)...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Nyota wa Tanzania Alphonce Mabula amejiunga rasmi na klabu ya JS Kabylie ya Algeria. Mabula awali alihusishwa na kujiunga na mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Young Africans SC (Yanga SC) katika...
2 Reactions
4 Replies
176 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…