Jackson matthew
Senior Member
- Jun 26, 2026
- 156
- 342
Hull city 2-0 manchester united 😢😢😢😢😢😢huzun jamani
Hawako seriois na maisha hao, na bado ndio kwanzaaaHull city 2-0 manchester united 😢😢😢😢😢😢huzun jamani
Wewe msambaa?Hull City wamemipiga Man Utd aisee....mmemianza msimu vibaya!
Hapana aisee..ni watani zangu😀Wewe msambaa?
Kwani Hull citu hana haki ya kufungua ligi vizuri au simba na yanga zimeharibu vichwa vyenuHull City wamemipiga Man Utd aisee....mmemianza msimu vibaya!