Barcelona usajili wa Gabriel Jesus mbovu

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
205
Reaction score
692
Gabriel Jesus kacheza Arsenal misimu minne.
Mechi-84
Magoli-21

Japo majeruhi yanamkosesha muda wa kucheza hususani misimu uliopita akiwa na arsenal lakini haibadili kuwa ni mchezaji wa kawaida.

Baada ya dili la Alvarez kuwa gumu kutoka atletico Madrid,kumekuwa na washambuliaji kama victor osimhen huyu jamaa anakiu na goli si mchezo.

Kuwa na mchezaji wa aina hii uefa kucheza champions League final ni kugusa tu
 
Nikumbushe kwanza, hivi El Classico ni lini?

Hili ni swali ambalo nilitamani kuona mashabiki wa Barcelona wakijiuliza.

Wakati Barcelona wanamleta Pedri, sisi tunamleta Bellingham.

Barcelona wanamleta Raphinha, sisi tunamleta Vini.

Barcelona wanamleta Fermin Lopez, sisi tunamleta Arda Guller

Wanamleta Garcia, sisi tunamleta Courtois

Wanamleta Rodri, tunamleta Benardo Silva.

Sasa napomleta Mbappe kama Striker wangu, nawe utamleta Gabriel Jesus?
 
Nakukumbusha tu.

Kwenye mechi sita za msimu ulioisha ulishinda moja tu.

Nikakufunga mechi 5.
 
Asante kwa kunikumbusha.

Ila idadi ya mechi ulizonifunga zina fanana na namba za UCL trophies za carrier nzima ya Club.

Hii ina maanisha kwamba kwa msimu mmoja ni rahisi Barcelona kuifunga Madrid mara 5, ila kuwin UCL mara 5 mtahitaji miaka 23.
 
Kati ya wachezaji wenye vipaji vikubwa Sana basi ni huyu Jesus, Majeruhi ndo yamemuumiza...Yaani ukizungumzia namba Tisa anayejua mpira basi huyu Jamaa naye yumo, ukiamuangalia ana vionjo Kwa mbaali Sana vya De Lima....Kusema kweli yeye na Julian Alvarez ni namba Tisa za kisasa kabisa, Kwa jinsi Barca wanavyocheza hawatohitaji standing striker Kila wakati , lazima uwe na namba Tisa anayeweza kuunganisha timu na hata kuchezesha wenzake...
 
Jesus si mbovu, changamoto majeruhi, pia hakuwa chaguo kubwa la ateta. Sehemu kubwa alianzia bench. Performance inaweza isiwe kubwa kama ilivyo kuwa city sababu za umri pamoja na kukosa physical fitness
 
Huyo sio main striker, kwa jinsi inavyoonekana kwa sasa Raphinha atacheza kama striker na majanja Jesus ni backup huku Alvarez akisubiriwa January
 
Gabriel Jesus kacheza Arsenal misimu minne.
Mechi-84
Magoli-21

Japo majeruhi yanamkosesha muda wa kucheza hususani misimu uliopita akiwa na arsenal lakini haibadili kuwa ni mchezaji wa kawaida.

Baada ya dili la Alvarez kuwa gumu kutoka atletico Madrid,kumekuwa na washambuliaji kama victor osimhen huyu jamaa anakiu na goli si mchezo.

Kuwa na mchezaji wa aina hii uefa kucheza champions League final ni kugusa tu
Ningekuwa mimi nawashauri Barca wangemfikiria Patrick Schick wa Reverkusen. Wangempata kwa bei nafuu, na mshahara wake si mkubwa. Nina uhakika yule jamaa uhakika wa kuifungia Barca goli 15-20+ angeweza
 
Japo hata Jesus majeraha ndo yalimtoa kwenye reli ila nyavu anazijua. Huwezijua anaweza kutulia na akarejea kwenye ubora wake wa City. Japo hata Barca najua yalikuwa maamuzi ya dharula.
 
Nikumbushe kwanza, hivi El Classico ni lini?

Hili ni swali ambalo nilitamani kuona mashabiki wa Barcelona wakijiuliza.

Wakati Barcelona wanamleta Pedri, sisi tunamleta Bellingham.

Barcelona wanamleta Raphinha, sisi tunamleta Vini.

Barcelona wanamleta Fermin Lopez, sisi tunamleta Arda Guller

Wanamleta Garcia, sisi tunamleta Courtois

Wanamleta Rodri, tunamleta Benardo Silva.

Sasa napomleta Mbappe kama Striker wangu, nawe utamleta Gabriel Jesus?
Kama kawaida yako unajifariji tu.
 
Barcelona inasikitisha kama si timu yako
 
Halafu matokeo yakawaje timu hizo zikikutana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom