Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Frankly speaking, mimi kama shabiki wa Simba,naona kabisa tunapoelekea na aina ya uchezaji wa team ni ngumu sana kwenye mechi za Champions league baada ya makundi!(Kama tutapita). Tuna expect...
12 Reactions
40 Replies
2K Views
“Tumejaribu kuwapigia simu Simba Sc kuja kwenye Press lakini hatuwapati, kwakuwa hili ni jambo la kanuni hatuwezi kukaa muda wote kuisubiri timu, tuendelee na ratiba nyengine taarifa zaidi tutatoa...
6 Reactions
82 Replies
6K Views
Nawasihi tu.. acheni huu utoto. Hamtafaidika kwa lolote.
5 Reactions
68 Replies
3K Views
Ameandika Jemedari YATWAA UBINGWA WA 31 KWA KUIZABUA SIMBA 2-0. Timu Bora kiwanjani (YANGA) imeshinda ✅ Simba wamezidiwa kuanzia Unyayo hadi Utosi ✅ Marefa wamechezesha kwa KIWANGO cha KIMATAIFA...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Ukiona mtu anaongea sana bila kutoa detailed information ujue ni mpigaji. Hizo issues alizozisema aliye win tenda ya jezi za simba 80% ni porojo tu. Hatukuambiwa lini Irizar itafika bongo ili...
1 Reactions
11 Replies
810 Views
Nimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba alicho fanya. Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote. Hana bahati na Simba.
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Uchambuzi wa Kibashiri: Simba vs Yanga – 25 Juni 2025 Matokeo ya Mechi (Full Time Result / 1X2) Pendekezo bora: X (Draw) au X1 (Yanga au sare) Sababu: Yanga wanahitaji sare tu kuwa mabingwa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wadau. Ukweli simba ya msimu huu ilipaswa wachezaji wote na viongozi wachapwe viboko. 1. Simba kugoma tarehe 8 kwa sababu ya kipuuzi ya mazoezi ya nusu saa, imesababisha ma bosi wa bodi...
18 Reactions
26 Replies
2K Views
"Kwa raundi hii na kwa kanuni za CAF ni kwamba, zile timu zote kubwa zinaanzia ugenini ila zile dhaifu na zinazodemadema zinaanzia nyumbani", amesema Jemedari Said Kazumari EFM Sports...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Mbinguni hakuna mpira! Ndugu yangu, natamani leo ujifungue macho. Mambo haya ya dunia ni ya kupita — ni kivuli tu kisicho na maana ya milele. Mpira, starehe, burudani… haya yote ni mtego wa...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Muda wa kutubu ! "Unajiuliza ! Kama Azam mwenye quality hii anataabika hivi licha ya kuanza pre-season mapena, sijui zile timu zetu zinazoanza maandalizi 1/8 na usajili umejikita kwa wazawa tu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni mshabiki kindakindaki wa Yanga, ila Leo moyo wangu unakataa, tunapigwa 2 kwa 1 na Simbo, na anguko letu la miaka 4 litafuata! Poleni sana wananchi wenzangu!
2 Reactions
10 Replies
544 Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace amejibu tuhuma wanazoshushiwa bodi ya Ligi kufuatia uamuzi wa kuahirisha mchezo wa Kariakoo Derby uliopaswa kuchezwa Machi 8, 2025...
8 Reactions
156 Replies
7K Views
Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa 31 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, ikiwa ni ubingwa wa nne mfululizo. Kwa zaidi ya miaka 85, upinzani wa Yanga na Simba umeendelea kuwa burudani kwa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Hongereni watani, hatuna kisingizio chochote mmetufunga kihalali. Michezo 5 mfululizo Simba tunanyukwa,ni tofauti kwa Azam na Yanga, Simba hawana ubabe tena mbele ya Yanga tuwaweke kando kwenye...
4 Reactions
6 Replies
640 Views
Huyu bwana anaweza kuwa na mkosi. Anabwabwaja sana lkn timu yake haipati makombe ktk kipindi hiki. Watu wa Simba amkeni, pengine mmeingiliwa na migundu
13 Reactions
36 Replies
2K Views
Kwa jinsi alivyoiendea mechi ya leo ni wazi anakijua anachokifanya. Nashauri Yangq imuongezee nguvu kwa kuziba madhaifu yaliyopo na kumpa uhuru wa kupanga na kuamua kikosi. Sababu zangu ni hizi...
1 Reactions
1 Replies
370 Views
Wakuu, Naomba viongozi wa Simba wamsaidie kocha Fadlu either matured assistant coaches au washauri kumsaidia kujua kucheza game dakika za lala salama. Pamoja na ubora wake lakini trend ya Simba...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Inaelezwa kuwa kabla ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC wachezaji wa timu zote mbili watapimwa kama wametumia dawa zisizofaa michezoni. Ikumbukwe kuna mwaka Jana...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu, Tuambiane ukweli familia, asilimia kubwa ya vipaji tunavyoleta Simba hapa Tanzania ni aina ya vipaji ambavyo ukifanya proper scouting vipo hapa hapa ndani. Nafasi ya goal keeper haihitaji...
28 Reactions
105 Replies
6K Views
Back
Top Bottom