political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,950
- 6,390
Ameandika Jemedari
YATWAA UBINGWA WA 31 KWA KUIZABUA SIMBA 2-0.
Timu Bora kiwanjani (YANGA) imeshinda ✅
Simba wamezidiwa kuanzia Unyayo hadi Utosi ✅
Marefa wamechezesha kwa KIWANGO cha KIMATAIFA ✅
Yanga SC wamestahili kila walichopata msimu huu, ndiyo TIMU BORA NA IMARA ZAIDI ✅
Simba SC wameshusha thamani ya mchezo wa DABI, wanafungwa kila uchao tena KIRAHISI sana ✅
Simba SC wanapaswa kutafuta wachezaji BORA na Imara zaidi ya walionao, wanaotokea benchi wanakuwa na mchango mdogo mno, ukilinganisha na wale walioingia kwa Yanga, walivyo Yanga ndivyo timu kubwa inayopigania vikombe inapaswa kuwa.
Kwa Simba hii HAIWEZI KUIFANYA CHOCHOTE Yanga hii, sana sana siku watawapiga nyingi kuanzia 6, watapiga kelelee, wataandamana, watasusia mechi, lakini kuifunga Yanga unaihitaji Simba imara kuliko ilivyo sasa.
HONGERA SANA GONGOWAZI mmestahili Ubingwa, timu ya marehemu Mzee SAID KAZUMARI MTIPA. Mwanangu Rayyan amefurahi pia.
Saa mbovu Mda mwingine inasema kweli
Yanga News Champion