Muda utafika tutagundua udhamini wa GSM kwa timu zingine wala sio tatizo, muda utafika tutagundua Marefa wanaweza kutoka hata Ulaya ila kama huna uwezo utafungwa tu, muda utafika utagundua hao...
Ni ngumu sana kutegemea propaganda kukuvusha badala ya kufanya usajili Bora na makini,
Ni ngumu sana kutegemea waandishi machawa kukufanyia promo kwamba timu yako ni Bora wakati wanakupoteza!
Na...
Wanasimbaaa,
Kwa ufupi Yanga tumewashindwa! Hata hizi danki danki za majuzi ni uoga wetu tu.
Fact ni tuache janja janja GSM atatufanya anachotaka hadi tupate uwekezaji serious ili tujenge timu...
CV ya Fadlu inaonyesha huwa anazifunga timu zinazo park bus na sio timu zinazo shambulia..
Fadlu ukitaka aonekane kocha wa maana wewe park bus. Ila ukimshambulia hanaga ujanja wowote.
Timu...
🔥 27 wins out of 30 games! 🤩
Unreal numbers in a competitive league like the NBC Premier League. 👏
You have to give credit where it’s due — Yanga SC delivered an incredible season.
From the...
Nashindwa kuelewa huzuni na malalamiko ya Mashabiki wa Simba yanapotoka.
Yanga imekuwa ikijipanga kwa ajili ya ubingwa huku Simba imekuwa ikifurahia ranks za CAF.
Msimu huu Yanga imeishia...
Rais wa Yanga SC Engineer Hersi Said kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe wa kuwashukuru Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo baada ya kutwaa Ubingwa wa ligi kuu ya NBC Msimu huu...
Kutokana na mapungufu mengi ambayo yalitokana na Waamuzi, Bodi ya ligi na kamati zake,basi TFF unapewa lawama kubwa sana kealuyafumbia macho hasa kama msimamizi wa mpira nchini. Kwa musimu ujao...
Ameyasema hayo muda mfupi baada ya game ya Yanga vs Simba ambapo Yanga iliidungua Simba bao 2:0.
Ameongeza kuwa katika misimu minne mfululizo, Simba ndiyo timu inayo ongoza kwa kufungwa na Yanga...
Mimi ni mtanzania lakini kule uingereza ni mshabiki wa Arsenal. Kama ningekuwa mwamuzi na kuambiwa nikachezeshe mechi kati ya arsenal na Manchester united lazima ningeipendelea Arsenal tu. Kule...
KARIAKOO DERBY | Leo Jumamosi kwa Mkapa kinapigwa, Yanga SC Vs Simba SC
Saa 1:15 usiku | 🔴 LIVE updates hapa
Je, Simba anakwenda kufungwa kwa mara ya 5 mfululizo na Yanga? Ama kukata uteja…!🫣🤯...
Napenda kuipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi (TPLB) kwa uamuzi mzuri na wa kizalendo wa kuwaleta marefa wa kimataifa kusimamia baadhi ya mechi za Ligi Kuu...
Wachezaji wa Simba sisi mashabiki wenu tunawadai kimoja kati ya vitu vitatu vifuatavyo na ikiwezekana vyote
1. Kumfunga Berkane na kuchukua shirikisho
2. Kuwafunga " hatuchezi fc na kuchukua...
Hakuna umafia wa aina yoyote kwenye mpira ambao Marehemu Hans Pope hakuwahi kuufanya.
Kuanzia Usajili,fitina za ubingwa na kucheza dabi.Jamaa alijitoa sana kwa mali zake na muda wake hakutaka...
habari za leo nyie MADUNDUKA A.K.A MAKOLO na UTOPOLO A.K.A CHURA......
Wakati wenzetu Wakenya wanajitokeza barabarani wakipigania haki zao, uhuru wa kisiasa, mabadiliko ya kiuchumi...
Simba imemaliza utata wa Dabi ya Kariakoo baada ya kuweka taarifa za kuwa tayari kucheza mchezo huo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
Simba ilikua kimya kwa muda mrefu kuhusu mchezo...
Frankly speaking, mimi kama shabiki wa Simba,naona kabisa tunapoelekea na aina ya uchezaji wa team ni ngumu sana kwenye mechi za Champions league baada ya makundi!(Kama tutapita).
Tuna expect...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.