Hassan Mwakinyo acha kututania

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,814
15,740
Kama kweli una nia ya kuupeleka mbele mchezo wa boxing bongo acha kupigana na aina hii ya wapinzani, hawatakupeleka popote.

Mtu ana loss 24 unapigana naye ili iweje, ili akupeleke wapi? He is nobody kwenye boxing, hata ukishinda no one cares, kwenye boxing watu wa namna hii tunawaita 'journeyman'.

Tangia umepigana na Sam Eggigton ambaye ni bondia anayetambulika na kukupeleka juu sana kwenye rating hujapigana tena na bondia wa maana, yaani wewe kwenye ranking uko no19 dunia nzima kwanini usiombe pambano na mabondia ambao at least wako top 50? Badala yake unapigana na bondia no190?

This is nonsense, ile ndoto ya kupigana na watu kama kina Kell Brook ilifia wapi?
Screenshot_20191101-065854_1572581912072.jpeg
 
Kuna interview alifanya kuhamasisha hili pambano lake...

Inaonekana mbeleni kuna mapambano mkubwa tu maana ana offer nyingi ikiwemo rematch na yule mtasha wa UK...

Hili pambano alitaka liwe TZ purposely
Sawa
 
Yaani hapo ni sawa tu na timu ya Simba sc kukipiga na Man City ya Pep! Matokeo yanajulikana hata kabla ya pambano.
 
Anazingua sana, kama anataka kufika mbali basi apambane na furu sio kuonea dagaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom