Jinsi ya kubeti

thegeniustzda

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
211
358
wadau msaada jinsi ya kubeti ? Soka Beti , M-Bet , Meridian Beti , Sport Pesa Na Mtu Wakubeti anatakiwa aweje ? Je Unatakiwa Kujua Mpira Sana Au Nikubuni Tuu Wakuu Vyuma Vimekaza Kila Mmoja Angetoa Maoni Yake Yangesaidia Sana Na Madada Zetu Wasiojua Mpira !!! Tz Ishi Na Mimi !!!!Vyuma Vimekaza Nayo Grissi Imemwagika
 
Mimi mwenyewe mpira sijui kabisa, ila siku hizi nimeanza kubet na nakula kila siku hela ndogo ndogo.
Nilichogundua, usiwe na tamaa ya kupata mapesa mengi, manake kubashiri matimu 13 kwa usahihi sio kazi ya kitoto.
Nimewauliza wakongwe wa kubet,wingine ananiambia ana miezi minne hajala hata mia na kila siku anabet kwa sh 500. Lakini mimi nikiweka buku buku kwa timu 3, lazima nitoke na hela.
Siujui mpira, sasa nafanyaje! Ni kweli sijui kabisa mpira, yaani wachezaji wa ulaya kwa ujumla wake ninaowajua hawazidi 15, nawajua tu rondomly na sijui wanatokea timu gani! Sasa nafanyaje?
Nanunua bundle, nazisoma timu husika mtandaoni, napata jibu, nalinganisha na pointi za kampuni husika, halafu mimi nakuwa mwamuzi wa mwisho, then naweka dau.
Siku za kwanza nishawahi kuliwa 4000, nilikuwa naangalia timu yenye mapesa mengi.
 
Bila shaka mpaka leo umefikia viwango vya juu sana!
 
Hapana, tangu ujuaji uongezeke kuna muda huwa napata vipigo hatari. Kama safari hii nipo kwenye danger zone, mpaka timu moja inachana mkeka.
Leo nimempa PSG, SPURS NA JUVE lakini mmoja ataharibu
 
Wanaotaka kubet lazima uwe na mtaji kwanza kabla hujaanza kubet then nitafute nikupe game

Hizo ni baadhi ya winning ticket zangu
IMG_20191117_123114_552.jpeg
IMG_20191117_093306_218.jpeg
IMG_20191117_122528_430.jpeg
 
ungeweka na baadhi ya loosing tickets, ni muhimu mtu unayemleta kwenye biashara ajue pro and cons.., pia ni vema ukawaambia guarantee ya kipato ni kama unavyofanya wewe kuuza tips na sio kucheza (hapo kuna mojawapo haina risk)
Ooooh well winning rate hiii hapa huwa na deal na 2 odds
IMG_20191117_080710_943.jpeg
 
Ooooh well winning rate hiii hapa huwa na deal na 2 odds View attachment 1265026
hapo ukiweka tax ya 20 percent hizo odds sio even tena (unless hakuna tax on winning)
pili kuna uwezekano wa kupitia a bad patch losses zikafuatana hence mtaji kuungua
na kama unafuata progressive betting systems while theoretically they sound good, practically its a shortcut to a poor house..

all in all, all the best ila your way is sure way (selling tips) that's not gambling its sure way of making money as long as you keep delivering and get customers
 
Yes am tipster my friends I have a lot of clients in world biashara yangu IPO telegram Niko na GROUP langu huko
 
good on you ila nadhani kibinadamu ungekuwa unawaambia kabisa wafanye hii kama burudani na sio biashara (yaani biashara labda wawe kama wewe) ila sio kutegemea hii kitu in itself kama njia ya kipato na kuendesha maisha (bila hio caution utakuwa hauwatendei haki)
 
Worry out my friend nishawaambia previously days
 
Back
Top Bottom