DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Ni rasmi, beki kinda Lameck Lawi amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga nasi kwa ajili ya msimu ujao
Mchezaji wa Coastal Union, Lameck Lawi amemwaga wino wa kuitumikia Azam FC kwa mkataba wa miaka miwili.
Msimu wa 2024/25 wakati unaanza Simba ilitangaza kumsajili mchezaji huyo kutokea Coastal Union lakini usajili huo uliota mbawa baada ya kuonekana kuwa biashara kati ya vilabu hivyo viwili kutomalizika vizuri.