Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,011
- 32,907
Kwa taarifa za kiinteligensia inasemekana Yanga Wana kikosi Cha Siri Cha propaganda ambacho huwalisha matangopori ya usajili Simba
How does it work???
Ni Kwamba kipindi Cha usajili macho ya viongozi wa Simba huwa yanafuatilia wachezaji ambao Yanga wanawataka ( since Yanga kwenye scouting wako vzr). So kipindi hiki Yanga inawapa data za wachezaji magarasa icho kikosi Ili taarifa wazipeleke Simba. Then Simba watakurupuka kama kifaru .....mwendo wa ngiri mkia juu kwenda kusajili [emoji23][emoji23]. Then huku Yanga inaandaa list ya quality prayers kuwasajili
NB: kama huamini fuatilia sakata la Ngoma kuibiwa airport...kile kikundi kikapiga propaganda kuwa Ngoma ni mali ......Yanga wakajifanya wanamleta TZ ....simba wakajaa Kwa mfumo wakapita nae airport kumbe lilikuwa bomu .....then Yanga wakamsajili max nzengeli na duke abuya[emoji23][emoji23]........so zile sajili za kina sawadogo.....mzungu, mutale, Debora na wote ni Yanga propaganda effects
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app