Kocha wa yanga atambulishwa Ismailia

Kocha wa yanga atambulishwa Ismailia

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,152
Aliyekuwa kocha wa klabu ya Yanga Sc, Miloud Hamdi kutoka Algeria ametambulishwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Ismaily Sc ya Nchini Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja na chaguo la ongezeko la mwaka mmoja zaidi.

Hamdi ameondoka Yanga Sc baada ya kuiongoza Yanga Sc kutwaa mataji matatu yakiwemo ubingwa Ligi Kuu bara, kombe la Shirikisho la CRDB na kombe la Muungano kwa msimu wa 2024/25.
2028925848.jpg
 
Aliyekuwa kocha wa klabu ya Yanga Sc, Miloud Hamdi kutoka Algeria ametambulishwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Ismaily Sc ya Nchini Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja na chaguo la ongezeko la mwaka mmoja zaidi.

Hamdi ameondoka Yanga Sc baada ya kuiongoza Yanga Sc kutwaa mataji matatu yakiwemo ubingwa Ligi Kuu bara, kombe la Shirikisho la CRDB na kombe la Muungano kwa msimu wa 2024/25.View attachment 3392177
hamdi aliomba kuondoka na alisema anapenda kufundisha kwenye ligi ya misri
 
Mwamba sana huyu. Binafsi simdai chochote. Mechi ya derby alipanga kikosi cha maangamizi! Na bado mabadiliko yake nayo aliyo yafanya yalikuwa ni balaa kweli kweli.
Ila Mokwena kama simuelewi hivi, huwa namuona kama yule mchekeshaji wa Kenya aitwaye Nduguchi.
Sijui viongozi wameona kipi kwake, ngoja tuone, nahisi anaweza akaondolewa baada ya pre-season tu
 
Back
Top Bottom