Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 892
- 1,226
Sheria za FIFA zinaainisha mchezaji akihama kutoka timu moja kwenda nyingine kila timu aliyocheza itapata mgao wao kutoka kwenye pesa za usajili.
Kama tunavyojua Samatta kabla ya kwenda Simba alikipiga African Lyon. Ila kwenye kila tranfer ya huyu bwana from Simba to Mazembe na kutoka Mazembe kwenda Genk simba ndio wamekua kiherehere kupata mgao huku African lyon wakikosa hata mia.
Nasemaje simba ni waroho..haters watasema mimi shabiki wa yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app