Jana mechi kati ya Arsenal dhidi ya Chelsea, kiungo bora kabisa Kante amelambishwa udongo na kijana mdogo sana, kosa hilo la Kante liliigharimu timu yake.
Kocha OGS alikuwa na sabb gani kumtoa Will, Ole ameniudhi sana.
Katimu kakuongezea kujaza point unakaacha kana tupigaje ??
Sasa!! Kwa nn ole amekaa tu anaangalia uwanjani, ina maana haoni...
DStv inaonyesha ligi ya England, EPL. Samatta kuchezea EPL kutaongeza watanzania ambao wataangalia EPL kwaajili ya kumuona kijana wao Samatat. Hii itaongeza wadau wa DStv, hivyo huu ni muda wa...
Jumapili wenzie wote waliocheza Manchester United, Burnley, Leicester City wanacheza kesho ila yeye kapumzishwa mpaka keshokutwa wakati bado ana mechi nyingi ajacheza kama wenzie.
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.
Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana...
Naomba niwafahamu wajumbe,maana nimeona insta TFF wakilaumiwa sana na hasa rais wa TFF amelaumiwa zaidi,kwa maamuzi waliyotoa.
Pia naomba nijue,je wanatoa adhabu kwa matukio gani yanayotokea...
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Januari 20, 2020 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya uamuzi ufuatao...
Salamu,
Nimesoma kwenye gazeti la Mwanaspoti kuwa Mechi ya Yanga na Singida United inachezwa uwanja wa Rites leo jioni .Naomba kufahamishwa huu uwanja upo wapi!/
Hatimaye makundi kumi ya A-J ya kuwania nafasi tano za kushiriki Kombe la Dunia nchini Qatar mwaka 2022 kwa nchi za Afrika yamepangwa. Ni haya yafuatayo:
Kundi A: Algeria, Burkina Faso, Niger na...
Wanachama wanawashauri kama yanga akifungwa au kutoka sare na singida United mnashauriwa uongozi na kamati tendaji wote mjiudhuru hamfai
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi huu ni wakueleweshana sheria za mpira wa miguu pamoja nakutoa update za mabadiliko pamoja na sheria mpya.
Naomba kwa mwenye ufahamu kwa nini match ya jana Chelsea vs Arsenal kwa nini refree...
Mshambuliaji na Nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta hali imeanza kuwa tete katika klabu yake ya KRC Genk. Hii ni kufuatia kupigwa benchi mara mbili mfululizo katika mechi za ligi.
Mechi ya kwanza...
Naomba kuuliza ni kwa nini goal la pili pa Salah limekubaliwa? wakati kuna VAR. Maana wakati United wanashambulia Mata alikuwa offside na linesman alishanyoosha kibendera
Inakuwaje offside kick...
Kuna mpango wa Simba kutakiwa kuidai Aston Villa hela ya uhamisho wa Mbwana Samatta kutoka Genk kwenda Aston Villa kwa mujibu wa Aden Rage.
Sheria za uhamisho wa wachezaji zinaruhusu Simba kudai...
Dar es Salaam. Ripoti kutoka nchini Ubelgiji zimeeleza kuwa klabu ya soka ya Aston Villa imepanga kutumia Pauni 8.5 milioni kumsajili mshambuliaji Mbwana Samatta kutoka klabu ya RC Genk...
UPDATES
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta ametangazwa rasmi kujiunga na timu ya Aston Villa ya Uingereza kwa mkataba wa miaka minne na nusu
Hongera. Kapige kazi. £10M si...