Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kabwili alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na kituo kimoja cha redio nchini, ambapo alieleza kuwa Simba ilimshawishi afanye kosa kwenye mechi dhidi ya JKT Tanzania litakalomfanya aonyeshwe kadi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kwa anayejua app ya sim inayo onesha soka la Ulaya. Ni hilo tu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni mpenzi mkubwa wa kituo cha redio cha Talk Sport cha Uingereza ambacho hupasha habari za michezo pekee. Tangu nianze kusikiliza kituo hicho cha redio miaka zaidi ya 15 ilopita nimekuwa ni...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Benchi la ufundi la Aston Villa limemhakikishia nahodha na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta nafasi ya kucheza katika mchezo wa Jumanne dhidi ya Leicester...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Nmeshtushwa sana na mtu mmoja anasema eti Shaffih Dauda anaweza akamfikia Eddo Kumwembe. Nlimtizama nikamwambia kilimanyege kinaweza fikia urefu Kilimanjaro. Nyie mnaona Shaffih elimu yake tu...
1 Reactions
48 Replies
8K Views
Pep Gurdiola. Huyu ni genius kamfanya KDB na Sterling kuwa watu hatari mnoo, ukimwangalia Kevin unaweza kujihisi ni unamwangalia mchezaji bora duniani 3 times. Raheem ndio Messi mchanga pale EPL...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wadau wa mchezo, nina imani mupo salama. Naomba kuuliza kwa wale wataalam waku-edit, mimi nipo kwenye group fulani hivi la kubeti lakini huwa nakua na wasi wasi na huyu jamaa...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
SIMBA WATUHUMIWA KUTAKA KUMUHONGA KADO Waandishi Wetu, Dar na Morogoro MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Ulimboka Mwakingwe amekamatwa na polisi mkoani Morogoro akihusishwa na njama za kuhujumu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nina rafiki yangu wa toka utotoni anaitwa Sifa. Huyu Sifa mwaka 2002 when he was 17 alimpa mimba classmate ( Form 4 ) wake, mwaka 2003 akajifungua mtoto wa kiume. Sifa akampa mtoto wake jina "...
1 Reactions
3 Replies
927 Views
Mwanaume wa Kifaransa ambaye anakwenda kwa jina la Florian Lejeune jana alifanya maajabu yake kwa kutumia muda usiozidi dakika moja na nusu kuweka kambani magoli mawili dhidi ya Everton na kuwapa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Eti DK Leakey alikuwa akiyapiga sana makampuni ya betting kwa hiyo kakatazwa kubet na wamemuajiri na ndiye anayetengeneza fixtures. Swali: 1. mashine nyingi za kubet mtu haandiki jina je...
1 Reactions
33 Replies
8K Views
Napenda kutumia nafasi hii kuwahamisisha wapenzi, mashabiki, na wanachama wa SIMBA SC Kufika katika tawi lolote na Equity Bank Kuchukua kadi za mashabiki ambazo itawezesha club yetu kupata mapato...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Utafiti unaonyesha kwa sasa nchini Tanzania mashabiki wa yanga ndio watu wenye huzuni zaidi nchini. Na hii inatokana na wao kutopenda kuchomoa pindi wanapochomekwa kimoja au viwili Hakika...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Huyu dogo kwenda dortmund mechi 2 goli 5 tayar kaweka kambani. Mechi ya kwanza goal 3 (hat trick) mechi ya pili jana kamba mbili safi. Man u mnafeli wapi? Uzi tayari
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Natumia kisimbusi cha startimes na hivi karibuni waliahidi kuonyesha mashindano ya emirates kwa kuanzia kifurushi cha 21,000/= Ajabu ni kuwa mi sioni chochote, kila nikitembelea channel zao za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mashabiki wengi wa soka walishangazwa na uwezo mdogo uliooneshwa na klabu ya soka ya Simba na kujikuta wakitolewa mapema katika michuano ya kombe la Kagame huku ikidhalilishwa na klabu ya Azam FC...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kobe Bryant's glittering 20-year NBA career ends with season-high 60 points as Los Angeles Lakers legend leads win over Utah Jazz Los Angeles Lakers icon Kobe Bryant's final NBA match came...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Nimejaribu kuangalia hii clip alipokutana na wachezaji Samatta na Ulimwengu nadhani ni Airport nimegundua JK alikuwa kiongozi mtia matumaini na sio mtishaji watu. Hakuwa mtu wa kujimwambafai...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ladies and Gentlemen, In less than ten minutes the die will be cast.Nani zaidi... Go Magic...Go Lakers...Kazi kwenu!
0 Reactions
198 Replies
15K Views
Ukweli mchungu. Ila mwenye macho haambiwi tazama. Mikoani. Dar kila maali ni simba brother. kama nimfuatiliaji mzuri wa mechi utagundua simba ndio tim yenye washabiki wengi bara na visiwani...
9 Reactions
84 Replies
27K Views
Back
Top Bottom