Kiungo bora duniani anapolambishwa udongo na kijana wa miaka 18

Active

Content Quality Controller
Jan 30, 2008
639
963
Jana mechi kati ya Arsenal dhidi ya Chelsea, kiungo bora kabisa Kante amelambishwa udongo na kijana mdogo sana, kosa hilo la Kante liliigharimu timu yake.

EO1zjrvXsAQVswJ.png
 
Mie ni arsenal damu!

Lakini kiuhalisia hakuna cha ajabu dogo alifanya katika ile ishu alikuwa anataka kutuliza mali na mpira ukamtoka, ngoli kante aliteleza yeye mwenyewe hakulambwa chenga wala nini!!

Kitu kikubwa dogo kanikosha ni ile finishing yake! Kiukweli martinelli ni mfungaji mzuri saana! Kanajua kujiposition, ana mwendo na mmaliziaje mzuri pia.
 
Ushabiki mbaya sana, mazingira yale kante ameteleza akaanguka, hakuna cha kulambishwa udongo wala wacha uongo wako, pale kwakuwa chelsea walikiwa goli la arsenal alionekana kurelax, kwabahati aseno walivyoanza counter attach akateleza kante wakati wa kugeuka ikawa hivyo.
 
Kuwa mkweli mkuu hata kama siwapendi chelsea lakini hakuna alichofanya yule dogo Kante aliteleza tu kwanza dogo dribbling mpira ulimgongagonga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimgonga? Acha ushabiki maandazi, kaangalie alipotoka na ule mpira ,spid ya hali ya juu, splint ya kiwango cha sgr ,

Halafu sio Mara ya kwanza kufanya hivo , huyo mtoto weka mbali kabisa

Muulize klopp anamjua vzr


Now anammendea

#LFC 'set sights on Arsenal youngster Gabriel Martinelli'

Liverpool transfer news LIVE - Reds set 'sights on Martinelli' Liverpool FC News on Twitter
IMG_20200122_030144.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom