Uzi wa kueleweshana sheria na update za sheria za mpira wa miguu

Bianconeri

Senior Member
Nov 24, 2019
113
74
Uzi huu ni wakueleweshana sheria za mpira wa miguu pamoja nakutoa update za mabadiliko pamoja na sheria mpya.

Naomba kwa mwenye ufahamu kwa nini match ya jana Chelsea vs Arsenal kwa nini refree alimpa Luiz sraight red card na akatoa penalt?
 
Back
Top Bottom