Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,196
- 25,516
Hatimaye makundi kumi ya A-J ya kuwania nafasi tano za kushiriki Kombe la Dunia nchini Qatar mwaka 2022 kwa nchi za Afrika yamepangwa. Ni haya yafuatayo:
Kundi A: Algeria, Burkina Faso, Niger na Djibouti
Kundi B: Tunisia, Zambia,Mauritania na Equatorial Guinea
Kundi C: Nigeria, Cape Verde Islands, Central African Republic na Liberia
Kundi D: Cameroon, Ivory Coast, Mozambique na Malawi
Kundi E: Mali, Uganda, Kenya na Rwanda
Kundi F: Egypt, Gabon, Libya na Angola
Kundi G: Ghana, South Africa, Zimbabwe na Ethiopia
Kundi H: Senegal, Congo, Namibia na Togo
Kundi I: Morocco, Guinea, Guinea-Bissau na Sudan
Kundi J: Congo DR, Benin, Madagascar na Tanzania
Muhimu: Mechi za Makundi zitachezwa kati ya Machi mwaka huu na Oktoba mwakani. Baadaye, washindi kumi (mshindi wa kwanza wa kila kundi) watapambanishwa kwa droo ya mechi mbili itakayotoa washindi watano watakaoiwakilisha Afrika kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar.
Wajuzi wa soka, mashabiki na wachambuzi, mnalionaje kundi tulipo Tanzania? Tutatoboa?