Liverpool inabebwa, goli la Salah offside waziwazi

Yule mchezaji wa man u aliekuwa anamkimbiza ndiye fala! si angesimama tu ili iwe clear offside!
20200119_212634.gif
 
Nimeamini liver inabebwa goli la Salah dakika ya majeruhi offside ya wazi kabisa.

Ngusero
Una walau ABC za uamuzi wa mpira wa miguu? De Gea alikuwa wapi mpira ulipopigwa na A.Becker? Usitafute presha ya bure.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom