Tetesi: Simba kuendelea kubaki na Mutale hadi msimu ujao

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,010
Reaction score
32,902
TRANSFER NEWS LIVE[emoji599]Budo Mutale is here to stay[emoji419]

Niko hapa kuthibitisha kwamba Simba wataendelea kubaki na Budo Mutale msimu ujao.

Baada ya kuwaka mwishoni mwa msimu Simba wameamuwa kubaki na Mutale.
@usajili_na_hansrafael14

Wale mlitegemea mutale aondoke ....labda muanze nyie[emoji23][emoji23]
1752155532216.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
TRANSFER NEWS LIVE[emoji599]Budo Mutale is here to stay[emoji419]

Niko hapa kuthibitisha kwamba Simba wataendelea kubaki na Budo Mutale msimu ujao.

Baada ya kuwaka mwishoni mwa msimu Simba wameamuwa kubaki na Mutale.
@usajili_na_hansrafael14

Wale mlitegemea mutale aondoke ....labda muanze nyie[emoji23][emoji23]View attachment 3400399

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mtaishia kuifunga Mecco ya mwaka 1990 Mbeya
 
Kupanga ni kuchagua. Sasa kama wao wameamua wenyewe kuwa wasindikizaji sisi tufanyaje. Wenzao utopolo wameamua kufunga "booster" pale mbele (Sowah, Ecua, Mzize, Maxi, Dube na kuna uwezekano mguu wa jini akarudi) wao makolo bado wamelala halafu baadae visingizio kibao sijui udhamini wa timu nane, bahasha, n.k.
 
Lawama zitaenda kw GSM na mangungu

Back
Top Bottom