Na wewe Ulikuwa Ulikuwa Unalijua Hili!?

Na wewe Ulikuwa Ulikuwa Unalijua Hili!?

Zirconium

Senior Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
185
Reaction score
236
Watu Wengi Wanafatilia Mpira na Kuijua Club Ya As Monaco ambayo Hivi Karibuni Imemsajili Ansu Fati Na Kiungo Paul Labile Pogba.

Lakini Hawajui Kuwa Monaco 🇲🇨 ni Nchi ambayo inaongozwa Kifalme , Mji Mkuu Wa Monaco ni Monte Carlo , Ina matajiri Wengi , Huku watu wanaponda Starehe za Hali ya Juu , Hawalipi Kodi …..Ila Kutokana na Udogo wa Nchi Club Ya Mpira Ya As Monaco Iliamua Kushiriki Ligi Kuu Ya Ufaransa. ( France 🇫🇷)
 
October tunaenda na Prof Samia kiongozi wa kasi na ubunifu. [emoji1621][emoji1621]

Miradi mizito, Mafanikio ni kila kona: diplomasia, uchumi, kilimo, afya, na uwekezaji
huku sauti ya Tanzania ikisikika dunia nzima.

Tuna kila sababu za kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan profesa wa siasa na uongozi

Oktoba ni mitano tena bila kupinga!

#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
 
Tunapiga tiki matacall ya wanaccm wote
 
Asante sana kwa kunijuza
 
Duh!...
 
October tunaenda na Prof Samia kiongozi wa kasi na ubunifu. [emoji1621][emoji1621]

Miradi mizito, Mafanikio ni kila kona: diplomasia, uchumi, kilimo, afya, na uwekezaji
huku sauti ya Tanzania ikisikika dunia nzima.

Tuna kila sababu za kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan profesa wa siasa na uongozi

Oktoba ni mitano tena bila kupinga!

#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
Hivi comrade yupo wapi!!?

Mbona amepoa kama ugali baada ya maombi ya mwamposa!!?

Alikua wa.moto sana hakupoa kama ugali !mbona kimya!!?

October tuna tick!

Kazi na utu tunasonga mbele!!
 
October tunaenda na Prof Samia kiongozi wa kasi na ubunifu. [emoji1621][emoji1621]

Miradi mizito, Mafanikio ni kila kona: diplomasia, uchumi, kilimo, afya, na uwekezaji
huku sauti ya Tanzania ikisikika dunia nzima.

Tuna kila sababu za kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan profesa wa siasa na uongozi

Oktoba ni mitano tena bila kupinga!

#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
Ngoja nikuweke haraka kwenye ignore list yangu kabla sijasahau.
 
Back
Top Bottom