Huu ni ushauri kwenda kwa Mamlaka zinazosimamia mchezo wa Ngumi , huyu jamaa hana uwezo wa kupigana , anasukumwa na usela tu , ngumi ni mchezo wa hatari sana kwa afya ya mtu , unaweza kusababisha...
Fukuzeni Murtaza Mangungu, Salim Abdallah Mhene 'Try Again', Abbas Mratibu wa Timu, Mtani wangu wa Kihaya Meneja Rweymamu, Mtani wangu wa Kiha na Rafiki yangu Kocha Msaidizi Matola na badilisheni...
Mi nauliza tu swali, mlianza kwenye comedy hadi mkampa tuzo, na wakasema mama ndio mchekeshaji wa kwanza😂😂 haya tukatulia.
Sasa kwenye Knockout ya Mama mtu akila kichapo inamaanisha kala kichapo...
Rais wa FIFA amewapongeza yanga sc kwa kutwaa vikombe vyote 💛💚💪
Pia amewapongeza mashabiki na wanachama kwa kuiyunga mkono timu yao japo ilianza kwa kusuasua
Asante Raisa wa FIFA 💪💚💛
Stars haijawahi tu kuwa serious na CHAN tofauti na ilivyoshiriki kwa mara ya kwanza mwaka 2009 chini ya mzee Marcio Maximo na Ally Bushiri.
Tumefuzu Afcon 2025 kwa kuzifunga nchi zilizotumia...
Dk Mo ana uhakika gani kuwa wanasimba wangapi hawamtaki Mangungu?
Mangungu amechaguliwa na Mkutano Mkuu kuwa mwenyekiti, hawezi kuondolewa na Dk mo kihuni kwa makosa ambayo hayana ushahidi. Yaani...
Wakuu
====
Tujadili sababu zinzoikwamisha Simba kwa Miaka ya hivi karibuni,
Mabadiliko ya mara kwa mara ya benchi la ufundi
Usajili usio na tija
Presha kutoka kwa mashabiki na mashindano ya...
Baada ya hicho kibunda kuwekwa kama timu ya taifa itaweza kutwaa kombe la Chan kili nikiitazama hakuna namna tunaweza kushinda hilo kombe . Hivyo hakuna namna hii pesa itapatikana badala yake...
Hapo vip!!
Huu ndio ukweli kama unataka mafanikio kwenye uwekezaji wa mpira na jambo lolote.
Wahindi biashara zao ni viwanda vya pilipili, tomatoes, mikate, pipi na biscuit..mpira hapa nyota zao...
MO KAPIGWA CHANGARAMACHO
tukutane mwisho wa msimu
Inasemekana uongozi wa simba unawasumbua sana Klabu ya As Vita Club kutaka kumsajili moja kwa moja Elie Mpanzu
Klabu ya As Vita imesha wajibu...
Wakati msimu unaanza, Miguel Gamondi aliendelea na kazi yake, Ila mashabiki wengi hatukufurahishwa na mwenendo wa matokeo ya ushindi mwembamba, Yanga ilikuwa inashinda lakini kwa taabu, hatimaye...
Apo mwanzo ilielezwa kuwa mshambuliaji uyu machachari ata timkia jangwani kwa mabingwa Young Africans sports club lakini baada ya sababu za kinidhamu wameamua kuachana na mchezaji uyo, kwa ili...
Kama wewe mpenzi wa Games basi tambua EA sports imemuondoa Diogo Jota kwenye Games 🎯.
Aliyekua mchezaji wa Liverpool ambaye alifariki Kwa ajali ya Gari mwezi mmoja uliyopita nchini Spain Diego...
Nimethibitisha ni wazi kuna tatizo kubwa sana huko ndani kwenye uongozi wa simba.
Sijajua exactly kama ni hela hakuna??, Viongozi wamejigawa??, au kingine chochote ila nakuhakikishia kuna tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.