Billioni 87, Mo anazijua hesabu za magazijuto?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,185
Reaction score
16,867
Bilioni 87 ukitoa (minus) (Bil 20 za uwekezaji + mapato ya jezi + Idadi ya matangazo ya bidhaa za mo kwenye jezi na gari la simba + udhamini wa m-bet + udhamini wa NBC + udhamini wa Azam + goli la mama+ ndege ya mama + fedha za CAF + Aluminum + viingilio vya uwanjani + ada ya wanachama) = Y.

Wanasimba tafuteni thamani ya Y kisha mlinganishe na 87b anayosema mo.
 
Labda wadhamini hawakutoa pesa
Duu ila wanachama wa Simba SC msimu huu lazima kieleweke, vinginevyo wataendelea kupiga kelelele nyuma ya mikamera

Mdhamini naye atakuwa anahutubia saa 4 nyuma ya mikamera nyumbani kwake, (You Tube)
 
Walikuja na ubaya ubwela, msimu ujao watakuja na nn?
 
Bilioni 87 ukitoa (minus) (Bil 20 za uwekezaji + mapato ya jezi + Idadi ya matangazo ya bidhaa za mo kwenye jezi na gari la simba + udhamini wa m-bet + udhamini wa NBC + udhamini wa Azam + goli la mama+ ndege ya mama + fedha za CAF + Aluminum + viingilio vya uwanjani + ada ya wanachama) = Y.

Wanasimba tafuteni thamani ya Y kisha mlinganishe na 87b anayosema mo.
ziko wapi, mbona hatuzioni, hizo mbona zingetosha kujenga uwanja wa kimataifa kabisa. alete mahesabu, zimefanya nini hizo
 
Mo sijui anatuonaje, Jayrutty ameweka billion 4 kwa tangazo lake, Mo kwenye jezi matangazo manne alipaswa kulipa bil 8+ ,mabango yake ya uwanjani wakati wa mechi,hela za African super league ,makundi, robo,nusu fainali na fainali za kimataifa.

Huyu gabachori ni wa kufukuzwa Simba
 
Utakuja kufirwa mjini hapa ,kazi kukalisha mapumbu na kupiga hesabu pesa za wanaume wenzio ..kawekeza zaidi ya bilioni 100 Ina mana kama Kuna kidume aje kumpa bilioni 100 aondoke ...wewe ndio utaweza...? Hata ukoo wako wote wakichanga ...tafuta hela pimbi wewe
 
Heee, yamekuwa hayo kumbe? Ametumwa na nani awekeze b100? Kwa makubaliano Gani? Kumbe ni deni, maweeeee!!!
 
Mo anajua simba ni mambumbu hawawezi hoji ajee yanga alafu aongea ujinga wake nyuma ya camera alone kizaazaa.
 
Tufanye Mo asitoe hela, halafu tuone mbilinge za timu ikiwa chini ya wanachama kuanzia malipo ya mishahara na hela ya usajili wataitoa wapi

Mashabiki tunahitaji ushindi tu hayo mengine ni kelele, timu aachiwe tajiri asiwepo sijui mwakilishi wa wanachama hawa wanaturudisha nyuma sio Mo

Naombeni kujua nguvu ya mwakilishi wa wanachama wa Yanga(hata sina hakika kama kuna cheo cha mwenyekiti upande wa wanachama)
 
Matajiri wazuri zaidi ya mo wa kuidhamini Simba bila kelele nyingi kama hizi wapo wengi, lakini familia ya Dewji imehodhi ukiritimba wote wa kuidhamini Simba miaka yote. Kwanini wana Simba hawashtuki?

Fedha kadhaa za mo zimetumika kuwapa marefa na viongozi wa mpira wa ndani na nje ili kuifikisha Simba pale ilipofika kwenye ligi na CAF, na inaonekana ni fedha nyingi sana alitumia ambazo hawezi kuzitaja hadharani matumizi yake. Yaani Mo aliibeba simba mabegani mwake na kwenda kuishusha pale ilipo kwenye ligi na CAF kwa kutumia njia za mkato.
 
Mimi sijaelewa kitu, inamaana Mo akitoa hizo pesa kwaajiri ya uendeshaji wa timu, mapato yote kutoka vyanzo vyote vya timu huwa anachukua yeye au inakuaje?
 
Bilioni 87 ukitoa (minus) (Bil 20 za uwekezaji + mapato ya jezi + Idadi ya matangazo ya bidhaa za mo kwenye jezi na gari la simba + udhamini wa m-bet + udhamini wa NBC + udhamini wa Azam + goli la mama+ ndege ya mama + fedha za CAF + Aluminum + viingilio vya uwanjani + ada ya wanachama) = Y.

Wanasimba tafuteni thamani ya Y kisha mlinganishe na 87b anayosema mo.
Vp GSM kodi analipa siku hizi??au atafanya kama home shopping center,kisha atafungua kampuni nyingine??
 
Utakuja kufirwa mjini hapa ,kazi kukalisha mapumbu na kupiga hesabu pesa za wanaume wenzio ..kawekeza zaidi ya bilioni 100 Ina mana kama Kuna kidume aje kumpa bilioni 100 aondoke ...wewe ndio utaweza...? Hata ukoo wako wote wakichanga ...tafuta hela pimbi wewe
Jibu hoja acha matusi,watu wenye matusi huwa wana upeo mdogo wa akili
 
Mimi sijaelewa kitu, inamaana Mo akitoa hizo pesa kwaajiri ya uendeshaji wa timu, mapato yote kutoka vyanzo vyote vya timu huwa anachukua yeye au inakuaje?
Hataki kusema kama hizo 87 ni pamoja na mapato mengine au baada ya mapato mengine
 
Back
Top Bottom