Hii duo ilikua on fire sana wanapotangaza mpira, yaani walikuwa wanaiva saana.
Baada ya Enock kutangaza nia ya kugombea Ubunge huko Mbozi, mara akapata ajali ila akatoka mzima akaendelea na...
English Premier League has a long history. Some of clubs of the League is even older than League itself. Each club has their own culture, where their nickname come from. Let's talk about some...
!
!
Samahani sana humu jukwaa la michezo hasa kama kuna post inayofanana na hii, ni vile natumia mchina na siwezi kusearch ila imebidi niulize tu. Hivii huu mchezo wa cricket unachezwajechezwaje...
1. Kocha hamtaki Meddie Kagere na aliomba Mshambuliaji mahiri kutoka Afrika Kusini au Zambia asajiliwe kakataliwa.
2. Kocha kaamua kwa aina ya nidhamu mbaya ya kiungo Jonas Mkude hamtaki tena...
Sina mengi ya kusema lakini enough is enough Tutu vengere a.k.a Rage aliweza enzi hizo kuna kanjanja moja tu lililokuwa linaivuruga simba na habari z auongo likiwa redio one kwa sasa limeajiriwa...
KHERI NUSU SHARI KULIKO SHARI KAMILI . Haikua bahati tu , bali ni neema ya siku ya jumapili ya tarehe 5 ya September 1993 kwenye uzao wako mtukufu , haikua baraka ya jiji la Bujumbura tu , bali...
Ilikuwa dakika ya 8 tu ila mechi imeisha statistics zenu zinasema simba haina shot on target au zinahesabiwaje hizo shots?
Anyway hongerenei deportivo la utopolo maana tangu 2007 hilo kombe...
Ukiangalia Matola amecheza mechi mbili tena bila kupumzika amepata pointi 6 magoli 5.
Kaze mechi 2 pionti 4 goli 1.Tena wachezaji wakiwa wamepumzika sana.
Ifike mahali ukweli usemwe
Usiku huu nilianza kuona tetesi za usajili wa Chikwende!
Kama ni kweli, hiki ni Kielelezo kingine cha kukosa weledi katika menejimenti ya Soka!
Inawezekana Rais alikuwa sahihi aliposema Tatizo...
Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu Simba ina wachezaji 11 wa Kigeni baada ya ingizo la Chikwende, Je watalazimika kupunguza mmoja? Au wameshapunguza?
Wawa
Onyango
Chama
Bwalya
Luis
Kahata
Kagere...
Yanga imeibuka na ushindi huo baada kuifunga Simba SC kwa mikwaju ya Penati. Yanga SC walifanikiwa kufunga mikwaju 4 kwa 3 ya Simba Sc
Mchezo huo ulifikia hatua ya matuta Baada ya Dakika 90...
Hatimaye Clouds FM moja kati ya redio kubwa Tanzania imeanzisha kipindi cha michezo asubuhi kiitwacho Hili Game.
Ikumbukwe Efm ndio mwasisi wa kipindi cha michezo asubuhi kitwacho Sports HQ...
Baada ya kumsajili attacking midfielder Chikwende kutoka zimbabwe simba wamemsajili mshambuliaji wa zamani wa team ya taifa ya nigeria super eagles na team ya esperance de tunis aitwaye Junior lokosa
Kwanza awali ya yote niipongeze klabu cha Yanga kwa kutwaa ubingwa Jana.
Moja kwa moja kwenye mada. Niseme tu wazi kwamba huyu Morison inatakiwa apewe ushauri abadilike. Haiwezekani anapewa pesa...
Miaka ya nyuma tunanua Yusuph Manji alikuwa anawanunua sana waandishi wa habari waandike kuhusiana na yeye na Yanga. Na moja ya magazeti ambayo yalitumika sana ni MWANASPOTI.
Gazeti hili...
Eti anaacha soka kwasababu ya adhabu aliyopewa kuwa ni kubwa sana.Aende zake akafanye biashara, soka limemshinda kwani Tanzania hii ya watu milioni 40 ndie mchezaji pekee? Hata timu nzima ya Yanga...
Mzee mmoja kutoka Bukoba ambaye kwa sasa yupo hapa Dar es salaam anadai kwamba Mshambuliaji wa Simba SC Tanzania Meddie Kagere ni mwanae na anaomba uongozi wa @simbasctanzania umkutanishe na...
SIMBA SC YAACHANA NA KOCHA SVEN
DAR ES SALAAM: JANUARI 07, 2021
#HABARI: KLABU ya SIMBA SC imetangaza kuachana na kocha wake Mkuu Sven Vanderbroeck kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.