Jerry Tegete Kuacha Soka

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
Eti anaacha soka kwasababu ya adhabu aliyopewa kuwa ni kubwa sana.Aende zake akafanye biashara, soka limemshinda kwani Tanzania hii ya watu milioni 40 ndie mchezaji pekee? Hata timu nzima ya Yanga wakiamua kuacha soka na viongozi wake, Yanga haifi kwasababu ni ya watanzania.Kama alidhani watu watababaika basi amekosea.Namshangaa sana kwani kiwango cha kulingia alichonacho kikowapi? Akumbuke kuwa mshahara wa dhambi ni mauti.
 
naona alitaka kuelezea akaishia kujijibu mwenyewe no p
jf dare4more
 
Hivi Tegete hata akiacha soka tutamkumbuka kwa kipi? Kuna wachezaji ambao wamecheza soka na kuacha majina makubwa kama Lunyamila, Makumbi Juma,Dua Said, Kibadeni nk, kitaifa hata kimataifa siyo hilo joka la kibisa. Yeye aacha aende zake Mwanza akawe mkokosi.
 
Kama alikuwa anacheza kwa malengo hapo sawa la sivyo njaa itamrudisha uwanjani maana biashara sio mchezo na wala si ya kukurupukia!kila la heri
 
Eti anaacha soka kwasababu ya adhabu aliyopewa kuwa ni kubwa sana.Aende zake akafanye biashara, soka limemshinda kwani Tanzania hii ya watu milioni 40 ndie mchezaji pekee? Hata timu nzima ya Yanga wakiamua kuacha soka na viongozi wake, Yanga haifi kwasababu ni ya watanzania.Kama alidhani watu watababaika basi amekosea.Namshangaa sana kwani kiwango cha kulingia alichonacho kikowapi? Akumbuke kuwa mshahara wa dhambi ni mauti.

Ametumia busara kuwaachia nafasi na wengine wajaribu bahati yao sio unang'ang'ania hadi kifo ndo kikutoe!
 
Huku ni kutokuwa na busara, jamaa kakosa anapewa adhabu hafu anatishia kuacha soka? Manake hajajutia kosa lake na akipewa "msamaha" atarudia kosa lile lile. Mwacheni afie mbali, wachezaji wenye kuchanganya fani watupishe kwenye soka. Ukichanganya utayson na umessi mambo hayataenda. Afie mbali kama anadhani soka bongo haliwezi kuchezwa bila yeye!!!!

Na hiyo elimu yake na kiwango chake cha fikra kilivyo labda akapige debe awe day worker!!!!
 
Mapenzi ya baba yake kwa yanga yamechangia kufika hapo alishindwa kumuongoza badala yake akaweka mapenzi zaidi kwa yanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom