Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
!
!
Samahani sana humu jukwaa la michezo hasa kama kuna post inayofanana na hii, ni vile natumia mchina na siwezi kusearch ila imebidi niulize tu. Hivii huu mchezo wa cricket unachezwajechezwaje? maaana mie siuelewi hata kidogo, superspot wanauonesha tena live na washabiki kibaoooo sasa kinachonishangaza zaidi wakati sielewi najujutajujuta naona wao wanashangilia kweli kweli na kupongezana, kafungaje? sijui....kimetokea nini sijui. Hebu nieleweshwe wadau wa humu kama yupo mjuvi wa huo mchezo.