Clouds FM uvumilivu umewashinda, waanzisha kipindi cha michezo asubuhi

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,868
Hatimaye Clouds FM moja kati ya redio kubwa Tanzania imeanzisha kipindi cha michezo asubuhi kiitwacho Hili Game.

Ikumbukwe Efm ndio mwasisi wa kipindi cha michezo asubuhi kitwacho Sports HQ.

Zamani ili kuwa nadra sana Clouds ku-adapt mifumo ya vipindi vya redio zingine hakika katika hili ni mapinduzi Efm wameleta katika tasnia ya media.
 
Wame extend muda na watangazaji wameongezeka alikua anafanya mmoja zamani kutia update but sasahivi ni kama kipindi.
Baba yangu sisi wabongo ni wajuaji kinyamaa alafu wabishi dunia nzima!

Nilitegemea kukuta ubishi wa hivyo yani mtu hata hajasikiliza Radio labda mara ya mwisho amesikiliza miezi minne nyuma lakini anabisha tu hahahahaha kudadaaadeki😂😂
 
😁😁😁😁
 
Sawa, sijasikiliza pb nina wiki mbili maana ndio kipindi pekee kinanifanya nasikiliza redi

Sawa, sijasikiliza pb nina wiki mbili maana ndio kipindi pekee kinanifanya nasikiliza redio.
Wanaanza sa tatu kamili ad
Baba yangu sisi wabongo ni wajuaji kinyamaa alafu wabishi dunia nzima!

Nilitegemea kukuta ubishi wa hivyo yani mtu hata hajasikiliza Radio labda mara ya mwisho amesikiliza miezi minne nyuma lakini anabisha tu hahahahaha kudadaaadeki😂😂
Ila clouds nafkiri kwa mtazamo wangu ndio Ina cream nzuri ya wachambuzi wa soka,na kwa mtazamo wangu pia Alex lwambano ndo the best sport anchor hapa bongo so naona wameona Kuna kit wanakipoteza asubuhi na uwezo wa ku wa keep waskilizaji wao wanaowahama asubuhi wanao.wamefanya homework yao vizuri sana
 
Next time learn to argue with facts that exist!
Mkuu, kwani ungetumia lugha nzuri kunielewesha ungepungukiwa nini. Wakati mwingine hekima sio kubishana na kuonesha unajua zaidi ya wenzako. Hekima ni kuwaelewesha wengine kwa lugha ya staha. By the way mimi sijabisha kama hicho kitu kipo ama hakipo, nimeeleza kuwa ni session ndani ya kipindi cha PB na ndio ukweli wenyewe na kilichoongezeka ni muda.

Usitake kuonekana mwerevu kisa kujua ratiba za vipindi vya redio.
 
Ndo biashara na maisha yalivyo
Anakuja mtu unamdharau ana take over
Hadi unalazimika kujifunza kwake..

Industry ambayo unafikiri wewe ndo pioneer
Na hakuna anaeijua kama wewe
Wanaibuka chipukizi wanaitawala Hadi unaondolewa kabisa au kujifunza kuwa copy

FM radio ya Kwanza ni redio one
Leo iko wapi??

Gazeti la michezo la kwanza ni dimba
Leo liko wapi??
 
Mkuu, kwani ungetumia lugha nzuri kunielewesha ungepungukiwa nini. Wakati mwingine hekima sio kubishana na kuonesha unajua zaidi ya wenzako. Hekima ni kuwaelewesha wengine kwa lugha ya staha. By the way mimi sijabisha kama hicho kitu kipo ama hakipo, nimeeleza kuwa ni session ndani ya kipindi cha PB na ndio ukweli wenyewe na kilichoongezeka ni muda.

Usitake kuonekana mwerevu kisa kujua ratiba za vipindi vya redio.
Kukaa kimya pia ni jibu mpendwa.
 
Unaona sasa bado unaendelea tu kubisha laaah! :D
Yani hapa nimealika watu 6 naowaambiaga daily sisi ni wabishi dunia nzima na hatutaki kukubali hata tukionyeshwa kweli ni hii bado tu tutabisha.

Wanacheka kinoma, yani majina waliyokupa hapa nikiyaandika nakula ban 😝😝
 
Back
Top Bottom