We dogo una vielement vya kutojitambua au labda unajichukulia poa kiasi kwamba timu nazo zinakuchukulia poa.
Umeingia anga za usajili wa kimhemko wa Yanga ambao siku hizi wanasajili wachezaji ili...
𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Aliyekuwa beki kisiki wa Simba Sc, Henock Inonga Baka amepewa mkono wa kwaheri na klabu ya AS FAR Rabat ya Nchini Morocco aliyokuwa akiitumikia kwa msimu mmoja baada ya kuondoka Simba...
Kama nchi lazima tuwekeze kwenye miradi inayotengeneza fedha (money generating project) Katika jitihada za kuongeza vyanzo vingi vya mapato ntahakikisha Tanzania tuna-kuwa na better ecosystem ya...
Hapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne mpaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89
2,189,000/= ambayo ni wastani wa laki saba kila mwezi hapo sijapigia hesabu toka...
Zikiwa zimesalia siku chache kurejea kwa ligi mbalimbali duniani, joto la soka linazidi kupanda. Mitandao inachafuka, pesa inamwagika, tambo zinatembea – lakini mwisho wa siku ni uwanjani tu ndipo...
Kwanini?
Ndio namba yake asilia,, ni Top top clinical finisher akicheza as final strikers
Sio winger,, kama nilivyo eleza hapo juu,,,
Hiki ni kipaji kikubwa sana cha hapa bongo ambacho...
Klabu ya Yanga SC iko mbioni kuingia kwenye ukurasa mpya wa kikosi chake baada ya taarifa kuibuka kuwa baadhi ya nyota wake wakongwe na mahiri kama Khalid Aucho, Jonas Mkude, na Clatous Chama...
wakuu
=====
huyu Yamal kweli ni bwana mdogo amemsahu hata pele???
Nyota chipukizi wa FC Barcelona, Lamine Yamal, ameibua mjadala mzito mitandaoni baada ya kutangaza kikosi chake cha ndoto...
Nilipoona tu Siku ile Yanga SC inarejea na Kombe kutoka Zanzibar huku ukijifanya Wewe ni Dj na ukawa Unatuzodoa wana Simba SC hasa pale Msimbazi Street mlikopita nilijua tu baada ya hapo kuna...
Nimeangalia pambano la mfaume na bondia kutoka Malawi anaitwa somebody banda aisee hadi aibu, mfaume kapigwa round zote lakini ushindi kapewa mfaume IDIOTS. Majaji hamna akili mnaleta siasa mpaka...
Leo nimeona niiongelee kidogo timu yangu ya zamani, Simba SC.
Kwa hizi sajili, acha, sajili zinazofanyika kila msimu inaonyesha wazi Simba imepoteza kabisa kujiamini. Viongozi hawajui Simba...
Liverpool mabingwa wa msimu 2024-2025 wa ligi ya uingereza nawapa chapuo ya kuchukua tena ubingwa wa msimu ujao.
Hii timu bwana imekamilika kila idara licha ya kuondoka baadhi ya nyota wake pia...
Sijaitaja sasa Wewe shoboka kuwa unaijua kwa kujifanya upo Akilini mwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Malaika wa Kizanaki (Mara Tanzania), Kiyao (Mtwara Tanzania) na Kitutsi (Gisenyi Rwanda) sawa?
Magari ya matent fuso,scania zinaingia ndani ya pitch kushusha tent
Mashimo au vitu vizito vya kuwekea tent
Watu mia n.k kukakaa kwenye pitch kwenye ujinga wa kungamano
Yaani hata wakikarabati...
Habari Zenu mashabiki bora wa CAF Super League!
Kiukweli tumeingia mkenge Kwa porojo za Utopolo. Simba Kwa Msimu huu tumefanikiwa kufika sehemu ya ndoto yetu wengi hatukuwahi kushuhudia Mnyama...
#MICHEZO Baada ya taarifa kutoka kwamba siku ya kesho wachezaji wa klabu ya Simba SC watatinga kambi ili kuanza maandalizi ya msimu mpya 2024/25. Meneja habari wa klabu ya Yanga SC ametoa ahadi...
Wakuu!
Mashindano ya CHAN 2024 yanakaribia kuanza, Jumamosi Agosti 2, 2025, lakini maandalizi ya promo na hamasa bado yapo chini ya kiwango. Hakuna mabango katikati ya jiji la Dar, wala matangazo...
Klabu ya Singida Black Stars kupitia kwa Afisa Habari wake Husein Massanza imesema mshambuliaji hakuna timu Tanzania yenye uwezo wa kumnunua mshambuliaji wao Jonathan Sowah na kubainisha kuwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.