Fernandez Mavambo Mr.Disconnect

Fernandez Mavambo Mr.Disconnect

Ndio kipindi chenu cha tambo hiki, mechi za awali hakuna mwana Simba asiyesifia timu hata msimu uliopita ukaja na msimamo wa ligi baada ya vimechi vitano tu na kujisifu.
Ule Uzi nakumbuka kipindi hiko Simba anaongoza ligi ngoja niupitie tena unasema "msimamo wa ligi kuu Chama lako lipo nafasi ya ngapi ?
 
Ana hatari huyooo...anajua huyoooo
Yani ni balaaaa
Ubaya ubwela...
Kutomsifia hakuondoi ukweli kuwa ni mchezaji mzuri...useme usiseme itabaki kuwa hivyo...
Waaandishiiii eeeeeeeh
Waandishiiiii eeeeeh
Anajuaa huyooo
Ana hatariiii uyooooo
Yan waaaaa
 
Ana hatari huyooo...anajua huyoooo
Yani ni balaaaa
Ubaya ubwela...
Kutomsifia hakuondoi ukweli kuwa ni mchezaji mzuri...useme usiseme itabaki kuwa hivyo...
Tunawasubiri mwishoni mwa msimu ili tuje tulifukue hili kaburi lenu. Ooh! Sijui ni kiongozi gani alimsajili huyu Debora Fernandez!!
 
Tunawasubiri mwishoni mwa msimu ili tuje tulifukue hili kaburi lenu. Ooh! Sijui ni kiongozi gani alimsajili huyu Debora Fernandez!!
Kwahyo unataka kusema huyu mleta mada kila mada yake inakufa...nyie mnakuja kuifufua...😃😃😃😃 muda utaongea..
 
Ana hatari huyooo...anajua huyoooo
Yani ni balaaaa
Ubaya ubwela...
Kutomsifia hakuondoi ukweli kuwa ni mchezaji mzuri...useme usiseme itabaki kuwa hivyo...
Tunafunga hesabu ya msimu, tunasubiri tambo zingine tena za kusifia wachezaji msimu mpya unaanza.
 
Back
Top Bottom