Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

KAZIER CHIEFS 4 – 0 SIMBA: GAVIN HUNT’S 5-2-3 BAMBOOZLES GOMEZ Once in a while you watch a match that is tactically fascinating that its tactical lessons stick with you for a lifetime. This was...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Kabla ya yote niseme tu mimi binafsi sina ushabiki wa usimba wala uyanga nimeamua kuandika ki michezo tu nikiwa mdau wa mchezo. Kwahiyo mm sio shabiki wa Yanga wala Simba. Kitendo cha klabu ya...
7 Reactions
58 Replies
5K Views
Taarifa mpya ya maelekezo toka serikali
2 Reactions
152 Replies
12K Views
Kaizer Chiefs vs Simba match on TV but NOT every fan will get to watch it! Kaizer Chiefs fans will get to watch their team live on the South African Television for the first time in the CAF...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Ni ngumu kwa baadhi ya mashabiki wenye mrengo fulani hivi kuamini, lakini huu ndio ukweli! Simba inakwenda kuweka rekodi mpya kabisa kwa kizazi hiki kwa kufika mbali sana kwenye mashindano ya Club...
24 Reactions
38 Replies
5K Views
Klabu ya Yanga imemrudisha Dar es Salaam Nahodha wake Raia wa Ghana Lamine Moro kwa Utovu wa Nidhamu. Chanzo: SportsarenaTZ Hata hivyo Taarifa za ndani kabisa ambazo Krav Maga nimezipata baada...
8 Reactions
41 Replies
6K Views
Kisaikolojia Kumcheka Adui yako Mkubwa kwa Kuanguka ( Kufeli ) Kwake huwa ni Jambo la Kawaida ila halijawahi kuwa Suluhisho la kumaliza Matatizo yako ya kudumu uliyonayo. Tunawacheka Simba SC kwa...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Nikiwa Mtanzania Mzalendo nimeumia sana kuona baadhi ya wenzetu waliomua kwa makusudi kutusaliti kwa kuwapa support wageni Nimesikitishwa sana na kitendo cha baadhi ya Watanzania kuamua...
5 Reactions
52 Replies
5K Views
Wakati umefika sasa Simba na Azam wafanye makubaliano ili Simba wamchukue Dube na Azam wawachukue Kagere, Mugalu na Ajibu katika deal hilo. Kwangu nitaona ni sawa tu. Wewe je? Nawasilisha.
3 Reactions
4 Replies
768 Views
Habari za jion wakuu nataka kuongeza uzito kidogo na mwili maana ni mwembamba sana tena upande wa mikono nina kilo 65 msaada wenu supploment ipi nzuri kwa kuongeza body maana kama msosi napiga...
3 Reactions
58 Replies
8K Views
Mpira ni burudani.. Mimi napenda mpira na nazipenda timu zangu passionately. Kufunga au kufungwa ni sehemu ya mpira; proud of my team, asanteni kwa siku mlizotupa furaha na siku ambazo tumepata...
3 Reactions
7 Replies
829 Views
Habari wanamichezo na wapenda soka kwa ujumla. Poleni kwa yaliyoikuta Nchi yetu huko kwa kwa Makaburu. Jumamosi ni siku ambayo tutaenda kuishangaza dunia kwa kuichakaza vibaya mno Kaizer siyo...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Yani simba na yanga kukutana terehe 3 ya mwezi wa saba muda huo ligi si inatakiwa iwe imeisha jamani ina mana wameshindwa kubalance muda hapa katikati kuna hatari ya kutokea mazingaombwe mengne...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu Salaam! Najiuliza kama hawa wapiga kelele wanakimbia taifa hawataki kucheza na Simba angalau tupate mazoezi kabla ya kwenda bondeni, au wakijitutumua kuingiza timu uwanjani tunawapiga mpaka...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Amenikera sana hapo jana, Mpira upo kwenye move lakini ghafla unaona anashangalia. Alifanya hivyo kwa goli la kwanza nikachuna, la pili nikapiga kimya sasa la tatu nalo nikapotezea. Ishu ni pale...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa kuwafuatilia Kwangu kwa Jicho la Kiufundi naliomba Benchi la Ufundi la Simba SC lifanye Maandalizi makubwa ikiwezekana hata kuliko yale waliyoyafanya ilipocheza na Al Ahly hapa Dar es Salaam...
34 Reactions
119 Replies
14K Views
Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu na wapenda kandanda Africa baada ya kuisha hatua ya Makundi ya michuano ya klabu bingwa Africa na Kombe la shirikisho Africa Kuelekea kupangwa kwa droo ya robo...
17 Reactions
229 Replies
26K Views
Ligi kuu Tanzania bara inaendelea leo kwenye mchezo ambao Namungo ya Lindi inaikaribisha Yanga Sc kutoka viunga Jangwani na Twiga. Mchezo huu unachezwa katika uwanja wa Majaliwa ulio mkoani Lindi...
4 Reactions
107 Replies
9K Views
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), leo April 6, 2020 kupitia ukurasa wake wa Instagram @Caf_Online, limepost kumbukumbu ya Comeback kubwa zaidi kuwahi kutokea katika Ligi ya Mabingwa Barani...
21 Reactions
57 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…