Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Japo Jukwaa hili huwa sitokei , mini ni mshabiki wa soka ingawa sio shabiki kama miaka ya nyuma(nimepunguza sana ushabiki). Kabla sijaendelea, niwapongezi Simba kwa ushindi waliopata na hatua...
8 Reactions
80 Replies
7K Views
Yanga Yazidi Kuzindua Matawi Mapya kwa Kishindo Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Engineer Hersin Said amezindua tawi Jipya la Klabu ya Yanga liitwalo DARAJANI LIKOMBE lililopo Mkoani...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi unachaguaji kocha ambae mawasiliano na wachezaji unakua mgumu? Kocha anajua kuzungumza kiarabu na kifaransa tu, wakati wachezaji wako wanaelewa Kiswahili, English(kama wapo) na wachache...
11 Reactions
50 Replies
5K Views
Nadhani sasa tunaona umuhimu wa kuwa na ligi inayoendeshwa kwa viwango vya kisasa, professional FA inayoratibu kwa weledi mpira kwa manufaa ya nchi nzima na siyo timu mbili za Kariakoo, kuvutia...
3 Reactions
10 Replies
888 Views
Tunakumbushana tu Lolote laweza kutokea Simba vs Kaizer Chiefs. Nawatakia Dominica yenye baraka!
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwishoni mwa wiki,Simba anatarajia kucheza na Kaezar chiefs, Nini utabiri wako kuhusu matokeo ya mechi hiyo?
2 Reactions
105 Replies
8K Views
Mashabiki na wapenzi wa timu ya Simba, tusikate tamaa tuendelee kuvimba kwa kupost zile post za kuonesha ubora wa timu ya Simba (ranking) ndani ya Africa. Tuendelee kupost overall performance...
7 Reactions
8 Replies
862 Views
Inakuwaje wanangu? I hope kila mmoja wenu yuko salama salmini. Wikendi hii tumebarikiwa na bonge la event, ningependa sana kuyaskia maoni yenu kuhusu card hii. Tripo9
1 Reactions
11 Replies
672 Views
1. Nilishangaa sana watu wakiichukulia poa timu ya Machief. Kinachoisumbua Simba kwa sasa ni ubora wa ligi ya South Africa. Ligi ya Tanzania bado ni changa na haina Qualities wala Woow factor. 2...
17 Reactions
85 Replies
6K Views
Nasema wazi kabisa kwa mchezo wa jana tulipaswa kuadhibiwa. Wachezaji wamecheza chini ya kiwango. Imefika mahali ninaanza kushawishika huenda kuna kitu zaidi ya mchezo. Shaffi Dauda anaishi na...
8 Reactions
63 Replies
5K Views
Habari wadau! Kiukweli Simba wamevuna walichokipanda, siku zote kibri haifai katika maisha ya mwanadamu. Hawa viongozi wa Simba wana midomo mirefu sana, alichowafanyia washabiki kwenye mechi yao...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Matokeo ya jana kati ya Namungo vs Yanga (sare ya bilabila) na Kaizer Chiefs vs Simba (4 - 0) ndo matokeo ya timu kutocheza mechi. Kaizer Chiefs kacheza mechi mbili yaani tarehe 6/5 na 12/5 ndo...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
2003 simba sc ilitikisa afrika nzima kwa kuwatoa mabingwa watetezi zamaleki waliokuwa kama weeks mbili nyuma wametoka kutoa draw na real madrid ya kina zidane,gutti kwenye club bingwa ya dunia...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwaka 1979. Kindi hiko sheri y offside wal hikuwepo, Mikia FC walipindua matokea ya mabao 4 dhidi ya Mufulira Wonderers FC katika michuano hii hii ya Klabu Bingwa Bara la Afrika. Mikia FC wliweza...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Mwaka 1956...Yanga 0 Raja Casablanca 7 Mwaka 1960...Yanga 0 Orlando Pirates 10 Mwaka 1964...Yanga 0 Constatine 9 Mwaka 1969...Yanga 0 Al Ahly 12 Mwaka 1972...Yanga 0 TP Mazembe 12 Mwaka...
5 Reactions
20 Replies
14K Views
Hivi hakuna uwezekano makocha au benchi la ufundi pekee likawa linahusika kutoa taarifa za kiufundi kuhusu timu zao Kwani wao ndio wataalam wa hayo mambo. Hawa wasemaji ni Tambo tu unakuta hata...
1 Reactions
1 Replies
900 Views
Kwa jinsi wapenda mpira tunavyoumizwa, kuna haja ya serikali kuingilia kati katika uchaguzi ujao. Tunajua jana TFF waliwaangushia jumba bovu serikali, kotokana na conflict of interest zao, sababu...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Sasa hivi naangalia Azam Sports 1 HD pana mechi wameweka kati ya Azam FC na Yanga SC, utaitambua tu kuwa ni marejeo ukisoma kwa chini kushoto neno ' HIGHLIGHTS '. Mechi hii huwezi itambua ni ya...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Ni usiku wa manane... Usiku wa utulivu,ambao dua hufika haraka sana. Naitakia heri timu yangu ya simba ipate ushindi. Eid hii haiwezi enda bure kwetu. All the best mnyama...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo timu yetu ya Tanzania itapeperusha bendera ya Tanzania huko Afrika ya kusini na dunia yote itatazama. Tutumie uzi huu kuitakia ushindi Simba dhidi ya Kaizer chiefs. Naitakia Simba ushindi wa...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom