Habari.
Duniani hata siku moja hakukosi vituko kabisa hasa TFF.
Kuna taarifa hapa imeleta taharuki kwa wapenda soka baada ya mchezaji wa Wekundu wa Msimbazi Hassan Dilunga kutemwa nje ya kikosi...
Wapenda soko asalaam.
Hivi najiuliza sisi wapi tunakwama. Kama ligi nyingi zinaisha mwezi june 2021 mapema kabisa. Sisi yakwetu mpaka July hapo hapo TFF imeita timu ya taifa kujiandaa na mechi za...
Chelsea mpoo?
Fainali itapigwa jiji linaloitwa Istanbul, nchini Uturuki.
Kule kwa Sultan Suleiman Khan na Shghazad Mustapha.
Yes! Huko huko kwao Ertugru.
Mkifika pale wanaifahamu timu moja ya...
Simba mnajidai sana na team yenu. Naona jinsi mnavyocheza mpaka mnakera. Mnakera sana si kidogo. Na sisi Yanga tukikua tunataka kucheza kama Simba.
Ila nawaambia na sisi Yanga team yetu ikikua...
Nteze John Lungu,
Alikuwa ni winga machachari sana wa Klabu ya Soka ya Pamba iliyokuwa na makazi yake Jijini Mwanza.
Enzi zake akiichezea Pamba aliwapa kazi sana Mabeki wa Timu Pinzani.
Kwa...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi na Azam TV Limited kwa pamoja wameingia makubaliano ya kuonesha matangazo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa muda wa miaka 10 wenye thamani ya...
Imekuwa ni muda mrefu sasa hatujakuona ukicheza katika timu yetu pendwa na tatizo sijui nini. Myself nai-miss sana ile mikwaju yako ya mbali ambayo katika timu yetu hiyo ni speciality yako tu na...
Ripoti kutoka Italy zinasema kocha wa timu ya Juventus na staa wa zamani wa timu hiyo, Andrea Pirlo atatimuliwa kazi muda wowote kuanzia sasa!
Klabu hiyo imekuwa na matokeo mabaya msimu huu huku...
Katika mechi ya Simba vs Dodoma Jiji, timu ya Simba ilipiga jumla ya pasi 873 na kati ya hizo, pasi 730 zilifika zilikopangwa kwenda. Takwimu hizi ni kwa mujibu wa Anwar Binda wa Wasafi FM wakati...
Tajiri na mmiliki wa klabu ya Manchester City, Sheikh Mansour asema atagharamia gharama zote za usafiri kwa mashabiki wake watakao hudhuria fainali za UEFA huko jijini Porto, Ureno tarehe 29 mei...
Leo asubuhi klabu ya Juventus imefikia makubaliano ya mdomo na Kocha Massimilliano Allegri kuinoa Juventus. Muda so mrefu atasaini mkataba na klabu hio itatangaza rasmi.
Andrea Pirlo rasmi...
KUHUSU RANKING
Afrika ina nchi 54 lakini ni nchi 32 tu zipo kwenye CAF RANKING na TANZANIA ikiwemo, hii ina maana kwamba mataifa 22 ya Afrika hayamo na ni kwasababu timu za nchi hizo hazifanyi...
Erling Haaland ampiku Robert Lewandowski katika tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kwenye bundesliga. Ingawaje Lewandowski kuwa na msimu mzuri kwa kuvunja record ya Gerd Muller (magoli 41 kwa msimu)...
Habari.
Muda huu ni saa 02:15 usiku ila naona notification ya Simon Msuva kutupia goal lake dakika ya 39 ya mchezo kwa timu yake ya Wydad Casablanca.
Simon Msuva a.k.a 'kibaba' naona anaendelea...
Awali nilikuwa najiuliza kuwa kama hawa ndio wazungu na ndio inaaminika wao ni binadamu wenye akili kutuzidi! Inakuaje wanashindwa kuona vitu ambavyo viko wazi kabisa kwenye football!?
Vitu...
Ilikuwa Februari, 6, 1958, Timu ya Manchester United ilikuwa ikitokea Belgrade, kucheza na timu ya Red Star. Manchester ilikuwa chini ya Kocha Matt Busby; wachezaji wake walijulikana kama "Busby...
Wakuu,
Kikao cha Kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kilichofanyika leo jijini Dar kikiongozwa na Rais wa TFF, Wallace Karia kimepitisha rasmi Uchaguzi mkuu wa TFF...
Baada ya majuzi Azam kupata haki ya kuonyesha VPL kwa mkataba wa miaka kumi walitamka na kiasi kitakacholipwa klabu zote shiriki
Kilichokuja nistua na kuniuma nilipokuja sikia kipindi cha michezo...
Maajabu Yanga, kanuni na Kamati ya Saa 72
BILA shaka umeshawahi kusikia Yanga Kampuni na Yanga Asili. Lakini utakuwa umewahi kusikia kuhusu Yanga Katiba na Yanga Ukuta. Hayo ni makundi yaliyowahi...
Asante Azam Media, Kampuni ambayo imechochea san aukuaji wa soka Tz, Mechi zote huzionyesha kwenye tv bila kujali ukubwa wa timu wala eneo
114,272,966.78 USD kwa miaka 10
97,284,020.03 USD baada...