Erling Haaland: Mchezaji bora wa mwaka Bundesliga

tc_edo

Senior Member
Apr 9, 2021
123
225
Erling Haaland ampiku Robert Lewandowski katika tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kwenye bundesliga. Ingawaje Lewandowski kuwa na msimu mzuri kwa kuvunja record ya Gerd Muller (magoli 41 kwa msimu) na kuwa kinara wa magoli Bundesliga haijatosheleza kupata tuzo hiyo.

Haaland amefunga magoli 27 msimu huu, pasi za mwisho 6, na mchezaji bora wa mechi mara 8.

---
Despite bagging 41 goals, Robert Lewandowski has lost out to Erling Haaland as Bundesliga Player of the Season.

The Polish No.9 won the title with Bayern Munich and broke Gerd Muller's record for number of goals scored in a single season, which has stood since 1971/72. But his 41 goals in 29 appearances weren't enough.

Instead, Haaland took the prize, helped by his 27 goals in 28 games.

"An honour to be awarded the Bundesliga Player of the Season," the Norwegian tweeted. "An achievement not just for me but the whole Borussia Dortmund family. We won this award together!"

Haaland.JPG

Haaland received 50 percent of the votes, taking the prize from Lewandowski, who had won it in 2019/20.

Source: Haaland named Player of the Season in Germany, despite Lewandowski scoring 41 goals
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom