Manchester City kugharamia usafiri wa mashabiki wao watakaohudhuria fainali za UEFA huko jijini Porto

tc_edo

Senior Member
Apr 9, 2021
123
98
Tajiri na mmiliki wa klabu ya Manchester City, Sheikh Mansour asema atagharamia gharama zote za usafiri kwa mashabiki wake watakao hudhuria fainali za UEFA huko jijini Porto, Ureno tarehe 29 mei 2021.

"Pep na timu nzima wamekua na msimu mzuri kabisa na wao kufika kwenye fainali ya UEFA hasa katika kipindi chenye changamoto ni historia kubwa katika club.

Hivyo ni vyema sana kwa mashabiki wengi ipasavyo waweze kupata bahati ya kudhuria huu mchezo. Hasa kwa wale mashabiki waliokua na timu kwa miaka mingi kwenye kipindi cha majonzi na furaha." Maneno ya Sheikh Mansour akitoa hotuba yake.
 
Hapo kesho ni fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE, mabingwa wa Uingereza Manchester City wataumana na Chelsea uko nchini Portugal .

Nani ataibuka mshindi?
IMG_20210516_032021_354.jpg
 
Back
Top Bottom