Ndemla, we miss your long-range shoots

Mario Kejob

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
381
500
Imekuwa ni muda mrefu sasa hatujakuona ukicheza katika timu yetu pendwa na tatizo sijui nini. Myself nai-miss sana ile mikwaju yako ya mbali ambayo katika timu yetu hiyo ni speciality yako tu na simuoni mchezaji mwingine kufanya hivyo.

Wasiwasi wangu ni kuona kipaji hiki kinaweza kupotea na sielewi ni kwa nini kocha ameshindwa kukupa hata game time ya dakika 15 tu. Taarifa nilizonazo ni kwamba you are doing wonders in practices lakini kwenye game hupangwi.

Mchezaji kama wewe unahitajika sana na hasa pale timu inapokuwa imebanywa sana na timu pinzani na hasa pale wanapo-pack basi na kufanya penatration kuwa ngumu zaidi. Ma-shoot yako ya mbali yangekuwa mkombozi sahihi dhidi ya mbinu hiyo.

Suala la kusajili wachazaji 30 na wanaocheza ni 15 tu mwaka mzima siliafiki kabisa kwani hupelekea kuua vipaji vya wachezaji.

Nimemzungimzia Ndemla kama point of reference tu lakini wapo wachezaji wengi tu ambao wamekosa fursa za kuonyesha vipaji vyao.

Na baadhi yao ndio walio ibeba timu kupata bingwa mbalimbali kabla hawa ma-geneous wetu kuwasili. Je imeshindikana hata kuwatafutia mechi za kirafiki tu nao wanoe misuli yao?. Na kwa huyo golie namba 3 wa Simba hata jina lake nimemsahau kabisa!

Practice makes perfect. They have practiced enough now they need game time na hasa pale timu inaopoongoza kwa mfano mabao matatu au manne bila, sioni ni kwa nini Gadiel Michael, Dilunga Amme and others wasimalizie mchezo. Sielewi kinachoendelea mawazoni mwao, but for me it's just not fair.
 

Pettymagambo

JF-Expert Member
Aug 21, 2017
225
500
Ndemla
Ndemla
Ndemla
Ndemlaaaaaaaaaa!
Unapotea hivi hivi?
Inauma kuona kipaji pekee kabisa kinakufa
Kiulaiini kama hivi?
Yaan ndemla kwamishut ile hata bench haonekani kweli? Nakumbuka enzi za mwalimu pierre rechantre alivyoanza kumwani nakumpa nafac' ikiwa pamoja na kina yusuph mlipili, leo hi siwaoni tena!
 

cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
21,043
2,000
Bora hata we umesema, ndemla ametoka mbali sana na simba, na ameisadia pia kwa mengi na makubwa.

Kipaji pia anacho tena cha kiwango bora kabisa, sijui why hapewi nafas ktk team now time, inaumiza San kwa mchezaji mwenyewe hadi mashabiki

Ifike hatua sasa ndemla apewe nafasi ili kuweka kiwango chake ktk ubora ule ule maridhawa, kiukweli huwa naumia mno tena sana ndemla anavopotezwa kirahisi kabisa tena pasipo ulazima wowote.

Nampenda ndemla tangu ndani ya uwanja, nje, na hata ktk uwanda mwingine nampenda sana huyu mwanaume.

Ila anachofanyiwa inauma san,
 

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,172
2,000
Huku kumsifia ana nguvu za miguu(kupiga) mdio mna muharibu kabisa, wakat mwingine uwanjani anakuwa kama mwehu, anapiga piva hovyo na hana target nzuri, amgempata mtu akamshauri jinsi ya kuboresha kiwango chake na kufanya saana mazoezi ya on target angekuwa mbali, amtizame mwenzie bwalya.
 

farharu

JF-Expert Member
May 29, 2016
355
500
Bora hata we umesema, ndemla ametoka mbali sana na simba, na ameisadia pia kwa mengi na makubwa.

Kipaji pia anacho tena cha kiwango bora kabisa, sijui why hapewi nafas ktk team now time, inaumiza San kwa mchezaji mwenyewe hadi mashabiki

Ifike hatua sasa ndemla apewe nafasi ili kuweka kiwango chake ktk ubora ule ule maridhawa, kiukweli huwa naumia mno tena sana ndemla anavopotezwa kirahisi kabisa tena pasipo ulazima wowote.

Nampenda ndemla tangu ndani ya uwanja, nje, na hata ktk uwanda mwingine nampenda sana huyu mwanaume.

Ila anachofanyiwa inauma san,

Sasa unataka nani akae benchi ili yeye acheze??
 

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
8,615
2,000
Mashuti kumi .moja ndio on target huo ni ujinga simba falsafa yake ni pasi fupifupi mpaka kwenye boxi la adui,ndio maana juzi mechi ya simba na dodoma pascal wawa alikuwa anaboa kwa pasi ndefu hadi zinapotea,ndemla anafaa timu zingine ila sio simba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom