Niwambie tu kwamba mnyonge m yongeni lakini haki yake mpeni.
Hivi Nani asiyejua kuwa kwenye utawala wa karia timu ya taifa ilifika Afcon? Nani asiyejua timu ya vijana na wanawake zimepanda chati...
Nimezipokea hizi 'Tetesi' kwa Furaha kubwa mno na kama itakuwa ni kweli kwani Edward Charles Manyama ni Beki Bora wa Pembeni anayecheza 'Kisasa' zaidi tena kuliko aliyeko Mohammed Hussein...
Mashindano ya uefa euro 2020 yanaanza kutimua vumbi leo ijumaa kwa mtanange mkali wa kundi A baina ya miamba TURKEY Vs ITALY majira ya saa 4 kamili usiku kwa saa za afrika ya mashariki, je wewe...
Uongozi wa Rais wa sasa Karia umekuwa na mapungufu mengi sana katika soka la Tanzania hivyo ninakuomba Mhe. A. Tarimba uchukue fomu ya Urais ili uokoe jahazi hili la TFF linaloenda kuzama.
Mahakama Kuu ya Brazil imesema Michuano ya Copa America ambayo inatarajiwa kuanza Jumapili inaweza kuendelea Nchini humo licha ya janga la Corona.
Majaji wametoa uamuzi huo baada ya Mkutano wa...
Dondosha utabiri wako kuelekea fainali ya ligi ya mabingwa ulaya(2020-2021) Kati ya Chelsea na Man city itakayopigwa terehe 29 mwezi huu wa 5 katika dimba la Attaturk Olympic stadium huko...
Hivi ulipata kumsikia mchezaji aliyeitwa Michael Paul "Naylon"? Umeambiwa nini kuhusu yeye? Kama umesikia ama hujasikia lolote kuhusu yeye chukua hii.
Michael Paul alikua fundi wa mpira hasa...
Wakala wa mchezaji Bwalya raia wa Zambia anayekipiga Al Ahly ya Misri licha ya kukiri kwamba mchezaji wake hatakiwi Al Ahly amesema Simba hawawezi kumsajili mchezaji wake.
Amedai kutokana na...
Serikali ina ahirisha match ya Simba na Yanga eti sababu Mwinyi anazindua kitabu. Huu ni wendawazimu.
Anayetaka kuhudhuria Uzinduzi wa Mwinyi si aende na anayetaka kwenda angalia mpira si aende...
Wijinaldum amesaini mkataba na miamba ya soka ya jijini paris ufaransa (PSG) kuitumikia mpaka juni 2024. Ikumbukwe Barcelona walikuwa na nafasi kubwa ya kumpata mchezaji huyu lakini akabadili na...
Jana nikiwa nasikiliza kipindi kimoja cha michezo nilishtuka sana, mmoja wagombea alilalamikia
Hiki kipengele naamini viko vingi vya kubadilisha
Kila mgombea anahitaji wadhamini si chini ya...
Natumai safari hii amejipanga vizuri baada ya kupapaswa mara ya mwisho alipogombea na Karia.
Ningewashauri hawa wanamichezo wawe na mtu mmoja watakaemuunga mkono ili kumuongezea nguvu na...
1. Uvutaji Bange (Bangi) uliopitiliza na yupo Mtu hapo hapo Simba SC (namhifadhi) ambaye alimzoesha Kuvuta na mpaka akawa anamnunulia.
2. Umalaya uliopitiliza kiasi kwamba mpaka hivi sasa ana...
Kama kuna dhambi wajumbe mtafanya ni kumrudishia tena madarakani Karia
TFF nabidi ibadilike bodi inafanya kazi kimazoea
Tufike wakati tuseme imetosha
Tuwe na viongozi wenye hekima na busara...
Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa michezo nchini wa kituo cha Radio EFM na TVE, Oscar Oscar leo Juni 9 2021 ameenda yalipo Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuchukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.