Kwani Kahata amenuna kuachwa Simba SC?

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
5,795
2,000
Labda huu uzi alikuwa nao kitambo, au ndio "anajiuza"

FB_IMG_16233063240104132.jpg
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
5,795
2,000
Hao Kaizer hawaamini mpaka leo kama waliitoa Simba SC, wanaweweseka usiku kucha hawapati usingizi.
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
5,795
2,000
Kwa hatua aliyofika ingawa kwenye ligi yao kavurunda, anaweza kushiriki Champion League msimu ujao?
Inategemea watamaliza nafasi ya ngapi, mara ya mwisho niliona wako nafasi ya 9, hali yao ni tete.
 

changaule

JF-Expert Member
Jan 10, 2020
579
1,000
Hao Kaizer hawaamini mpaka leo kama waliitoa Simba SC, wanaweweseka usiku kucha hawapati usingizi.
Na Simba hawaamini mpaka leo kama wamekwaa kisiki cha kaizer na kubakia pale pale walipoishia msimu wa mwaka juzi
 

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
766
1,000
Sasa hapo cha ajabu ni nini labda? kumbukeni kwenye mpira kuna fair play mechi imeisha wachezaji wamebadilishana jezi mbona kawaida izo mambo
IMG_20210611_160206.jpg
 

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,948
2,000
Hao Kaizer hawaamini mpaka leo kama waliitoa Simba SC, wanaweweseka usiku kucha hawapati usingizi.

Kaizer wanaweweseka kwa simba.. wakati simba ndio vibonde waliomfanya kaizer aweke historia..

Kaizer chiefs ina zaidi ya miaka 50 toka kuanzishwa kwake.. na hajawai kufika nusu fainali hata mara moja ya caf champions league.. miaka yote vigogo huwa wanamtoa .. hata robo amefika kwa kuunga unga..

Ila amekutana na kibonde wake simba akamfunga 4-0...

Kaizer hajaifunga timu yeyote goli nyingi ya caf champions league msimu huu zaidi ya simba peke yake.

Sasa why uweweseke kwa mtu aliyekufanya uweke historia ya magoli mengi na kutinga nusu kwa mara yako ya kwanza maishani
 

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,948
2,000
Hiyo jezi ndio kaizer walivaa dar.. baada ya mechi kuisha walibadilishana jezi wachezaji..

Hata kapombe anayo jezi hiyo ya kaizer chiefs ya blue.. alienda tazama diwani cup yombo akiwa amevaa jezi ya kaizer.

Hiyo ni fair play na memory kwa wachezaji kubadilishana jezi..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom