Timu ya taifa ya Ujerumani ali maarufu kama Nationaelf(national eleven) au unaweza waita Die Mannschaft yani (the team) ni moja ya vigogo soka la ulaya kwenye ngazi ya mataifa ikiwa imewahi...
Huyu mzee ana busara sana kwa kweli kila nikiiangalia team yangu simba wazee kama ramesh patel, philemon sarungi,kina kova wanatuchelewesha tu laiti tungekuwa na kina mzee mpili,mzee magoma...
Hii ni tuzo nyingine tena kwa beki wa Manchester City, Ruben Dias [emoji1201] Ikiwa haijatimia hata mwezi ambapo Tarehe 20 mei 2021 alichukua tuzo ya FWA FOOTBALL of the year. Ruben Dias...
Wakati wako busy kusajili wachezaji wa bilioni 1.2 na mwingine wa billion 5 huko South Africa huku itaaarifiwa pia wanaenda kutoa billions 12 kuchukua mwingine toka Misri team ya yanga fc mwezi...
Mwanariadha wa kimataifa, atakaeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Olimpiki Japan mwaka huu Alphonce Felix Simbu ameshinda mbio za BIMA Marathon 21K kwa muda wa (1:02:09), naye mwakilishi...
Ule mtambo wa mabao toka Burundi uliowapagawisha wana yanga ulipowasili nchini na kupokewa na rundo la mashabiki umeaga rasmi na kuacha majonzi makubwa kwa mashabiki wa team hiyo inayokamata...
Sisi sote ni mashahidi jinsi wallace karia na TFF walivyokuwa wanawazuia kina yikpe,sarpong na wachezaji kadhaa nyota wa kigeni kufunga magoali na kusababisha wakose magoli ya wazi huku wakiwabeba...
"TFF ni Simba SC na Simba SC ni TFF na tumeshaona jinsi Simba SC inavyobebwa na TFF kiasi cha wengine Kuchoshwa na Upuuzi huu ", Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas Tarimba.
Chanzo: Sports Court...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba SC Barbara amezipuuza ripoti zinazodai Simba imezidiwa ujanja na Azam kwa kumsajili beki Manyama kutokea Ruvu Shooting.
Barbara amesema Simba haijawahi...
Masoud Djuma (umri 28) akamilisha usajili wake ndani ya Yanga SC kwa dau la USD500,000 (Bilioni 1 & Milioni 150) Yanga imefanikiwa kuwashinda wapinzani wao Simba SC Tanzania baada ya offer yao ya...
Hivi hizi Hasira zake na haya Machungu yake dhidi ya Kuutaka kwa udi na uvumba huku akiwa ameshapoteza sifa na matumaini angezihamishia katika Kuyazungumzia Matatizo Sugu ya Wakazi wa Jimbo lake...
Wazee wa Yanga Sc wamesema hawautambui mchezo wao na Simba Sc ulipangwa kufanyika Julai 3
Wamesema mchezo wao ulishachezwa Mei 8, kama TFF wanafuata kanuni Simba Sc waporwe alama ili wapewe...
Tuesday , 10th May , 2016
Mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kati ya wenyeji Ndanda FC na Yanga uliokuwa ufanyike Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara sasa utafanyika Uwanja wa Taifa jijini...
Hi sasa ni aibu,
Tokea kwa Kagere, Miquessone, Bwalya, Morrison hawa wote walianza maongezi na yanga kabla mkaingiliana bado hi juzi tu mlimtaka hata manyama mliposikia yanga wanaitaka sign yake...
Walaji wa kikapu DSTV hasa NBA,
Tumebaguliwa sana maana michezo mingine inapatikana hata kifurushi cha chini kabisa. Lakini basketball inaanzia compact plus ambayo ni ghali sana.
Tuamshe kampeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.