Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Jemedari Said ( Meneja wa Kipa Metacha Mnata ) mwenye 'Matatizo' sasa na Klabu yake ya Yanga SC katika Mtu ambaye huwa sisahau, najua Kukariri haraka na natunza Kumbukumbu kwa 100% Ubongoni ni...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika ile Barua ya Kusimamisha Mchezo (Mechi) ilisema Serikali yako na kupitia Wizara yako ya Michezo ndiyo mliisimamisha. Siku zinakaribia na kuna Timu inasema haitocheza hadi ipewe sababu ya...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Dhambi za madeni hamna tofauti na uhujumu uchumi. Nimemsikia mchezaji wetu leo golikipa akiomba radhi. Alienimaliza na meneja wake bana jama amemaliza mkataba mpaka sasa awajakaa.Nae wanazingua...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Klabu ya Simba SC ilipokuwa ikicheza Mechi zake huku 'Paka' wakionekana Uwanjani ghafla 'ikabatizwa' Paka FC hivyo sasa tunaenda sawa baada ya Kipa Metacha Mnata wa Yanga SC kuitafutia Yanga SC...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Japo ni 'Poti' wangu kabisa kutoka Mkoani Mara (Musoma) ila kwa hili na haya yanayokutokea sasa hapo Yanga SC Kipa Metacha Mnata wala sikuonei 'Huruma' kabisa kwani umeyataka Mwenyewe na...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu wakati akiwa Mwanza nilimsikia Rais Samia akizungumzia suala la uanzishwaji wa academics kwa kila mkoa ili kukuza sekta ya mchezo wenyewe. Ni jambo jema sana ila mimi nina mawazo tofauti na...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Juhudi zangu za Kuchimba kutoka Jikoni nimeambiwa na Mmoja wao kuwa si Kweli kuwa Yanga SC hawataleta Timu Siku hiyo ila Kutishia kwao huku mara kwa mara kutoitambua au kutocheza 'Derby' ni kutaka...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu habari MWADUI VS MTIBWA Npo nasikiliza mpira kupitia redio hapa vikindu lakn kinacho nishangaza kocha wa timu hii anasikika Tena kwa sauti kupitia U FM akiwafundisha wachezaji wake kila...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umemsimamisha kipa wake, Metacha Mnata kutokana na utovu wa nidhamu alioufanya kwa mashabiki baada ya mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting uliochezwa jana usiku katika...
1 Reactions
8 Replies
44K Views
Kongole kwa wachezaji wetu, Mechi hii imetuonesha KUIMARIKA kwa kikosi chetu kila muda unavyozidi kwenda. Baada ya mpira kuisha ,ilionekana baadhi yetu mashabiki wa kilabu chetu pendwa...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Wagombea nafasi ya Urais Shirikisho la soka Nchini TFF wamekosa wadhamini. Ni mgombea mmoja tu ambae amepata wadhamini ambaye ni Rais aliyemaliza muda wake Ndg Karia. Kwa tafsiri hiyo nafasi ya...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Mshambuliaji wa DC Motema Pembe, Kadima Kabangu amesema anaamini mabingwa watarajiwa wa Tanzania Simba SC watamsaini. Amesema ameshafanya mazungumzo na kocha wa Simba, Didier Gomes na...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Kabangu: Nikicheza na Chama, Luis Nitafunga Sana MSHAMBULIAJI wa DC Motema Pembe ya DR Congo, Kadima Kabangu, amesema ubora walionao viungo wa Simba wakiongozwa na Clatous Chama na Luis...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
"Nilipanga kujizawadia Ferrari na Rolls-Royce, sina budi kuweka mpango huu kapuni kwa sasa na kuelekeza fedha zaidi katika klabu yetu ya @SimbaSCTanzania . Furaha ya @SimbaSCTanzania ni muhimu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Super MB3 akitoa hamasa kwa watoto mitaani. Wako wapi wanahabari wetu na wachambuzi uchwara. Hawakuona hili?
0 Reactions
2 Replies
699 Views
Habari za saizi wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwa jinsi gani Vodacom wanapata au walkua wanapata faida toka kwenye vpl?
2 Reactions
9 Replies
976 Views
Nimeamua kuandika habari za mpira wa miguu kwa sababu nyingi lakini za msingi ni kuwa soka ni ajira,biashara,n.k lakini pia ina mipaka yake.mpira wa miguu (Football or soccer) ni biashara kubwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Christian Eriksen is unlikely to play football again and Italy may ban the Inter Milan player from competing again if he has suffered a cardiac arrest, according to a leading cardiologist. The...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
" Kinachoendelea Yanga SC na huu mkanganyiko kuhusu wao kucheza au kutocheza Mechi yao na Simba SC tarehe 3 July, 2021 ni Uthibitisho rasmi kuwa Yanga SC sasa imejaa Wahuni na inaongozwa Kihuni...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Mzuka wanajamvi! Tahadhari kama hujui kiingereza vizuri kabisa usiendelee chini kusoma. Nimeamua kutumia taaluma yangu kwenye huu Uchambuzi. Omnipresent N'Golo Kante delivers Munich...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom