Yaani Simba Hamnaga Scouts makini Hadi muwategemee Yanga?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
5,385
2,000
Hi sasa ni aibu,

Tokea kwa Kagere, Miquessone, Bwalya, Morrison hawa wote walianza maongezi na yanga kabla mkaingiliana bado hi juzi tu mlimtaka hata manyama mliposikia yanga wanaitaka sign yake bahati mbaya au nzuri yanga akajitoa mkabaki na Azam mkabwagwa chini,
Yanga ikaanza mfuatilia Shabaan Djuma tayari mpo nyuma ati na nyie mkapeleka offer yenu!

Mnachotaka kutuaminisha ni kuwa yanga wapo vizuri katika scouting zaidi yenu?

Ni kwamba mafanikio yenu yana mchango mkubwa wa yanga hasa katika kupata vipaji?Wapi mnafeli?

Mlifanya usajiri wa pupa kuhofia yanga mkamchukua Chikwende matokeo ndio yale ,poleni sana.

Jitafakarini na acheni kunyatia nyatia
 

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
8,759
2,000
Utopolo bhana, akili zenu zimejaa matap tap tu! Hivi huyo Shaban si mlimjua kwenye game dhidi ya Simba, tena wala hakufurukuta kwenye ile game! Huyu akija utopolo atawakimbia tu hata kabla ya nusu mhula kuisha, na wala hatofurukuta!
 

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
9,998
2,000
Chinga boy mlimwona Simba ilipocheza na timu yake, Shabani Djuma mlimwona Simba walipocheza na As Vita mmebaki kulazimisha urafiki na timu zinazoshindana na Simba.
Kubalini hamna pesa Mbuy Twite nani alianza kumwona.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom